Mtoto wangu wa 2 ana mwaka sahv ameacha kunyonya tangu akiwa na miezi 7 anapiga msosi bila shida ila ucku njaa ikimshika hata kama ni saa 8 kama hamkubakiza uji kwenye chupa mtapika anashika kitandani uelekeo jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hongereni akina baba kwa upendo wetu kwa watoto mimi ni baba wa watoto 2 kila mmoja ana vituko vyake huyu mkubwa sahv nikimuahidi kitu tu kila unikigeuka tu ninae watoto wangu wanaenjoy sana ninapotoka nao matembezini hasa ya mjini hawataki kuongozana na mama yao na nilishajuaga sababu mama...
Nyabugombe,ngazi saba,Rusahunga,mizani,zero zero,benako,machinjioni hii barabara nimeipita sana 2013/14 kama haikufanyiwa marekebisho itakuwa na makorongo cyo mashimo maana ilikuwaga imechoka hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni maskini ambaye ni tatizo kwa wanao usipojitambua utawatesa wanao na wajukuu juhudi zako ndio mafanikio ya wanao na familia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna msemo wanausema vijana wenzetu siku hizi "Nanukuu" KUISHI MASKINI NI UJINGA/UVIVU WA BABA AKO/ILA KUISHI MASIKINI NI UJINGA WAKO NA MATESO KWA WANAO" Mwisho wa kunukuu ni tusi kubwa sana ila ndio ukweli muombe Mungu lisikukute ukiwa mzazi ila ndio jibu pigia mstari
Sent using Jamii Forums...
Siwezi kumlaumu Baba yangu amejitahidi alipofikia japo hakutimiza wajibu wake hakutambua nini kinachofuata mbele yake nadhani angetusomesha wote kwa kujinyima na kuchukia umaskini huenda sasa hv angekuwa anakula matunda murua aliyoyahangaikia kwa jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometime msilaumu sana kuna mambo mengi sana yanachangia hvyo usitegemee mwenye kipato cha juu akampeleka mwanae kayumba tulizosoma sisi hata mimi sitampeleka mwanangu kayumba niliyosoma mimi kwa sababu sikupenda maisha yale chukia kitu ambacho hukukipenda ukiwa mdogo kwa mwanao
Sent using...
Kiutaratibu askari anapokuwa na uniform na yupo kituoni akisubiri usafiri akipanda gari huwa hatoi nauli maana yupo kwaajili ya usalama wa chochote kitakachotokea yeye ndio anakuwa mlengwa namba moja na kwa kawaida kama ni gari ya abiria inayofanya ruti ndani ya mkoa hapaswi kulipa nauli ila si...
Joke! Hata Mungu mwenyewe wakati anamuumba hawa alimsikilizia adamu ameuchapa usingizi unadhani kwa akili yako angekuwa macho angekubali amletewe hawa aliyemletewa angemwambia Mungu sifa kibao za mwanamke anaemtaka kibongo bongo angesema awe na sifa zifuatazo:.
Awena chura.
Awe mweupe rangi ya...
Kuna fyuz maalumu ambazo huwa zimefungwa kwenye makombora au mabomu ya kudungulia ndege mara nyingi huwa ni pacation fyuz hufuata mlio au moshi wa ndge hasa linaporushwa uelekeo wa ndege inapopita na huwa na speed kubwa kuliko ndege yenyewe iwe ndge vita au abiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Me mpaka leo huwa nikikumbuka huwa machozi yanakaribia kunilenga ilikuwa hv cku hiyo ilikuwa jmosi huwa ni siku ya mnada ilikuwa mida ya saa 2 kasoro kulikuwa na mbalamwezi imeangaza sana kiasi cha kuweza kumjua mtu ambaye yupo umbali wa 50m ile ya kama jua la saa 4-5 hv tupo watatu kuna sehemu...
Kudungua ndege hakuna ufundi yale makombora huwa na fyuz maalum zinazofuata mlio au moshi wa ndege ni kitu cha batan tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida kwa kila familia nyingi ziwe za kitanzania au huko mbele familia inapokuwa na watoto zaidi ya 2 huwa kuna aidha mmoja kuwa msumbufu,mtukutu,na kivuruge hatari sana au ikawa kinyume 1 akawa vzr wengine chenga na kila familia ya hvyo mmoja huwa na mafanikio au elimu au wanaweza wakasoma...
Wakulima pia wananufaika acha wale walichopanda ukiona pamoto kula chapati za unga wa bakhresa na azania maji ya baharini yana chunvi supu tosha
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.