Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa bidhaa za online. Kusema kweli sijawahi kupata tofauti na nilichoagiza.
Sikatai kwamba online kuna vitu visivyofaa, hapana, ila we mwenyewe jiongeze sometime. Mfano unajua kabisa iphone labda ni milioni tatu, we unaipata kwa elf 90 online, jiulize hapo hiyo ni...