Katika List of shame iliyotangazwa na Slaa,Manji hakuwemo..jiridhisheni kwa kupitia kwa umakini,deal za Manji nyingi anaiba kwa akili kama kusubmitt tender request katika kazi moja anawakilishwa na makampuni zaidi ya 10 yote yakiwa yake mwisho wasiku anashinda yeye..kwa kashfa za ufisadi wa...
Bob Mugabe yuko fiti,hizo ni rumours zilizoenezwa na vyombo vya magharibi..kwani ni mara ya kwanza kuzushiwa hivi??mtu yupo zake anakula pepo nyie mnapiga longolongo hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.