Kizazi cha dot com na matumizi ya earphones - kuzalisha viziwi duniani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kizazi cha dot com na matumizi ya earphones - kuzalisha viziwi duniani?

Discussion in 'Entertainment' started by Mchekechoni, Jan 19, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  The new generation's life style involves extended usage of ear-phones to listen music day in & day out. Sasa hivi ukikaa na hawa dot.com utakuta wanaongea kwa sauti ya juu, dalili tosha ya kuharibika ngoma za masikio yao. Katika kipindi cha miaka ijayo wanapoelekea uzeeni wengi wao watakuwa viziwi na kuhitaji msaada wa madaktari ili waweze kusikia vizuri. Ukikutana na dot.com na vidude vyake masikioni mpe ushauri wa bure ili usaidie kupunguza idadi ya viziwi duniani katika siku za usoni.
   
 2. L

  LeBron James New Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona umeanza kuchanganyikiwa
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwani umeambiwa earphone zimeanza kutumika leo basi hao unaosema viziwi sababu ya earphone wangekuwepo tokea huko 19th Century.Hii CRAP TUPU.
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Msipende kuita vitu crap kwa sababu tu hamna uelewa navyo

  Madaktari wanasisitiza watu kupunguza kutumia earphones na kusisitiza kuwa hizi earphones za kisasa ni mbaya kuliko za zamani hivyo risk kuongezeka zaidi sasa

   
 5. g

  g-pluc Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  that the thing ujue wengine wanatumia head phone za bloototh without knowing any impact resulted by those stuffs...... be carefull guyzzzz:A S 39:
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  More headphone use leading to hearing loss. Young people, in particular, face increased risk of damage to ear. More details on

  More headphone use leading to hearing loss - Health - Health care - More health news - msnbc.com


   
Loading...