Recent content by lebraza

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nataka Rais Magufuli ashindwe

    Aiseeee....!!!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dr. W.P.Slaa kuwa Balozi: Rais Magufuli anaendelea kujieleza na kujipambanua kisiasa

    Ulichoandika si Kweli, haiakisi uhalisia.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Nakuhurumia Zitto Kabwe

    Muda ni mwalimu mzuri sana!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kubana Matumizi: Baraza la Mawaziri na mlo wa "Chips Mayai"

    Chips mayai huku kuna Land Cruiser V8 zinanguruma nje zinanyonya wese?!! Huu ni upotoshaji na usanii MTUPU.......Huwezi bana matumizi kwenye chips!!
  5. L

    JamiiForums Tanzania CCM wanatuchezea akili "mind games"

    Mikataba ya madini walisaini wao...... Sheria za madini walipitisha wao kupitia hati ya dharura na kura za NDIOOOO.... Wapinzani walipiga kelele miaka nenda rudi ila walionekana wapuuzi.... Hata sisi wananchi tulipohoji hatukusikilizwa... Haya yote tunayosikia leo ni kwa sababu ya CCM. Halafu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tanzanian Government Accuses Acacia of Mining Gold Illegally

    Nakubaliana na wewe mkuu, nakumbuka hata kampuni ya simu "Airtel" mpaka 2013 ilikuwa inajulikana kama Celtel huko BRELA(Celtel-->Zain--->Airtel). Sina hakika kama ilibadilishwa ama laa, sasa unaweza kusema Airtel ina operate illegally?!!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea kuteua wapinzani bila kufanya "A" au "B"

    Umenena vyema mkuu.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Spending So Much Kwenye Muungano: Does This Justify Tulipofuta Uhuru Just To Save ?!.

    Na kuipeleka sherehe hii Dodoma nadhani cost imekua kubwa zaidi.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awatega wabunge CHADEMA, awaambia wakitaka ukweli warudishe hoja ya Richmond Bungeni

    Hivi Mahakama ya Mafisadi haipo? Apeleke ushahidi wote huko fisadi akafungwe......
  10. L

    JamiiForums Tanzania TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

    Hivi kama TISS wametumwa kuyafanya haya uchunguzi utaleta majibu kweli?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli chukua hatua kwa Makonda

    Kama yeye ndiye anaemtuma??? hahaha....unahitaji nini kung'amua hilo?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mkumbo ni nani hadi anateuliwa?Alikuwa Muhadhiri,Mwanasiasa, Mtumishi wa Umma au Vyote?

    Ila inafikirisha sana, mtumishi wa umma halafu anashiriki siasa huku sheria ipo clear kabisa juu ya utumishi wa umma na siasa!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu yupo tayari kunywa Juice ya Ikulu, amuombe radhi Rais kwa kumuita Dikteta

    Kazi yake ndio hapa mkuu.....chezea buku 7!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa turudishie maji yetu ya mto Themi

    Daraja II,!!
Back
Top Bottom