CCM wanatuchezea akili "mind games"

lebraza

Senior Member
Jan 8, 2013
124
114
Mikataba ya madini walisaini wao......
Sheria za madini walipitisha wao kupitia hati ya dharura na kura za NDIOOOO....

Wapinzani walipiga kelele miaka nenda rudi ila walionekana wapuuzi....
Hata sisi wananchi tulipohoji hatukusikilizwa...

Haya yote tunayosikia leo ni kwa sababu ya CCM.
Halafu leo tunailaumu Acacia....

CCM ni Janga!
 
Na bado wanamlinda change!
Afukuzwe kama akina Sophia simba kwa kukichafua chama halafu ashitakiwe!
Vinginevyo hizi ripoti zitakuwa haina maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom