Nadhani ni wakati muafaka wa kuwa na fikra endelevu na zenye kuvuka mipaka ya nchi yetu, na pia tukawa na watu wa mifano katika kuigwa kutoka ndani ya nchi yetu katika sekta ya uchumi na maendeleo. Natamani kusikia stori ya alikotoka na mapito ya ndugu Bakhressa mwanzilishi. Kuna mengi ya...
Hapana! Mi nadhani watu tunazaliwa tukiwa na hurka tofauti na tunakulia kwenye fursa tofauti pia, na ndiyo maana unakuta kuna watu wana mawazo mazuri(Ideas and Creativity) ya kujiajiri ila hawana uthubutu (daring) au mitaji, au pengine ana kila kitu kwao na mtaji pia upo lakini hana uono wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.