Recent content by Learner41

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Wakuu mimi pia nimepita. Sifa na utukufu nikwako Mungu uliye mkuu usioweza kuelezeka. Kesho nipo kwenye gari naelekea dodoma.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Ni Disappointment kubwa sana hii. Watu tumekaa tunasubiri mkeka alafu wenyewe wanaita watu kimya kimya kweli. Kwann wasifuate utaratibu wao wa kutangaza mkeka kama ilivyokawaida. Kuna mtu alinijuza ya kwamba PSRS Wanadisappoint sana watu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Mkuu wanaweza kuita watu kazini bila kutoa mkeka?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

    Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi. Kwa wale mliokuwa mkikubaliwa for oral interview, hivi ile sentence huwa inabadilika? Mfano kwenye picha nilizoambatanisha...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya 2100 TRA- 12 March, 2022

    Habari waheshimiwa, nimeona kwenye gazeti la jana la mwananchi kuwa Rais ametoa ajira nyingine 2100 zaTRA. Nimeambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na screenshot kutoka kwenye page ya millardayo post za jana gazeti la tarehe 12/02/2022.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa TRA lini?

    Kisheria ni lazima ukubaliwe ila uwe na sababu kwanini hujaleta originals kwa mwajiri wako. Pili, nakushauri uwe na original maana siku ya written interview ni lazima uonyeshe original, bila hivyo hata kama unasababu ya msingi vp, hawatakubali uingie ndani ya chumba cha mtihani.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa TRA lini?

    Sidhani kama ni hivyo. Guideline ya kucertify vyeti ipo miaka mingi. Kwanini usicertify vyeti ndo uviweke? Scenario imekaa hivi: utumish wanaamini ukicertify vyeti kwa mwanasheria/wakili vyeti hivyo ni original, wakiona hujacertify basi watakuwa na mashaka hata kama utawaonyesha original baadae...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Watu tuliochaguliwa Tax Management Assistant nicheki tuanzishe group tushare material
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa TRA lini?

    Wale wa tax mngt assistant timetable hiyo hapo
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani la dini hili

    Nimeshaweka picha mkuu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani la dini hili

    Habari wakuu, habari za kushinda? Poleni na majukumu. Siku ya leo nimeona post ya bbcswahil kuhusiana na almasi ya ajabu iitwayo enigma. Sasa nina jiwe kama hilo niliokota miaka 7 iliyopita. Najiuliza linaweza kuwa lenyewe au ni mfanano tu. Naambatanisha picha ya bbcswahili pamoja na picha za...
Back
Top Bottom