Kwani laana zimekwisha? [emoji23][emoji23][emoji23]Au mwenda zake ameondoka nazo zote? Na alaaniwe aliyeanzisha tozo za miamala ya simu.. watu wote na waseme amina
Twende kwenye mada.
Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?
Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.
Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.