Recent content by Le Manuel

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

    wapi KATAVI?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mara 2, Mara 3.. Mbona Hatusemi 1? au ndo 2metekwa kimawazo na ccm na ukawa.! hebu 2piganie serikali 1, hii ndo mwarobain Wa muungano.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

    Mwingine Ni Mugabe.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Askofu Desmond Tutu naye amlaum Yoweri Museveni

    Aolewe Kwanza Yeye.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kanisa Moravian : mnatudhalilisha!

    Watu Wanafanya Kazi Ya Mungu Kwa Mazoea, Ndio Maana Tumefka Hapa Tulipo. lakini pia kunahaja ya kumsihi mungu atusaidie kwa hili.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini akina dada wanapenda kuanika kufuli zao hadharani?

    Huko Ni Kukosa Maadili Na Kujiheshim. Kwa Mtu Anayejitambua Katu Hawezi Kuanika Kufuri Zake Hadhalan.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

    Alitaka Iweke Mdomon au vp?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    mi naona zzk anazunguka, lakini TAGETI yake bado ipo kwny serikali 3.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba: Kutokuonyeshwa kwenye TV Live ni hujuma kwa watanzania

    kama katiba ni ya watanzania, kwann wafanye SIRI? hapo kuna uchakachuzi unataka kufanywa.!
  10. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

    safi sana CDM & CUF kwa kususia posho, huo ndo uzalendo.
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM na Bunge Maalum La Katiba

    Hivi kwann CCM wamekua wakitaka katiba mpya iwe ki-ccm na sio ya WATANZANIA?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Serikali 3 ndoo mpango mzima

    Katka ukwel uliopa na mazingira ya sasa tanzania bara(tanganyika ) na Zanzibar tunahitaj serikal 3, kinyume cha hapo kwa wa Zanzibar watavunja muungano! Hakika Serikali 3 hazipingiki kama tunataka kulinda na kuuenzi muungano wetu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Aliyeshinda kura za maoni CHADEMA Kalenga awekwa kiporo, Grace Tendega kupambana na CCM

    Sinkala Aligawa Kadi Kwa Vijana Ambao Si Wanakalenga, Walikua Wahuni tu. kwahyo ushindi wake haukua halali kwasababu haukuhusisha wapiga kura halali.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya

    Kwa Mtazamo Wangu, Naona Ni Bora Tukawa Na Serikali Moja; Yaani Zanzibar Iwe Mkoa. Ikishindikana Kuwa Na Serikali Moja, Basi Hatuwezi Kukimbia Serikali Tatu, Yaani Serikali Ya Tanganyika, Zanzibar Na Ile Ya Jamuhuri Ya Muungano. Sijui Wenzangu Mna Maoni Gani Juu Ya Swala Hili.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    Wanataka Wamfute Machozi Mjane Na Wanafamilia. Na Si Kwa Manufaa Ya wanaKALENGA.
Back
Top Bottom