Recent content by Le Grand

  1. L

    Sheria ya ndoa: Mke ana wajibu wa kumtunza mume akiyumba kiuchumi

    Poleni na majukumu ya kila siku, naombeni msaada toka kwenu, nimekuwa nikiishi na mwanamke takriban miezi kumi(10) tangu February mwaka huu lakini nilipoteza kazi (ajira) toka mwezi may niliyumba kiuchumi lakini nilijitahidi kuhudumia familia nikisaidizana nae (ana watoto 2 ilammoja tukiishi...
  2. L

    Maamuzi ya Serikali ya awamu ya tano yalivyoua uchumi wa Tanzania

    Na vipi kuhusu kusababisha Acacia kufunga migodi yake kwa kile walichodai wanadai zaidi ya Tril. 400 na hii iliishia wapi kwani watanzsnia wasikuwa na hatia walikosa ajira na serikali kukosa mapato pia nauliza mantiki yake ikoje!?
  3. L

    Wachezaji wenye majina magumu zaidi

    Baalaaaa.....!
  4. L

    Trilioni 1.5 zinawezekana zilitumika hivi

    Maaaweeeee........ Twaaafwaaaaaa!
  5. L

    Mbatia mjanja sana, kamwacha Mbowe na wafuasi wa CHADEMA wadhalilike sakata la makinikia

    Acha uzwazwa! Hebu tuambie ni nini kipya hapo? Pia twambie ile kodi ya sh 400+t mlioaminishwa iko wapi? Je mbona hata haikutajwa hata kwenye ripoti kwa hiyo utakubaliana nami kwamba zile ripoti ni rubish? Ulichopost ni takataka fikiri kwanza kabla ya kupoteza muda wako kupost ujinga!
  6. L

    Kwanini Rais alimtuma mpambe wake akamzuie mkalimani kutafsiri Prof Kabudi alipoanza kuongea?

    Hivi mbona hatujaita press conference na kutumia muda kibao kwenye matv na maredio kutoa ripoti kama tulivyopokea!? Nauliza tu!
  7. L

    Nchi ya kusadikika na kisa cha binti Mfalme aliyebakwa; Baba wa binti anapofurahia kishika uchumba badala ya mahari

    No, yule binti hakubakwa walimtoa wenyewe kwa makubaliano haswa! Sasa ni ngumu kupata kule walichoaminisha wana uko sisi msjirani tulisema wee tukabezwa Sana haya sasa kwa wale wote mnaoshangilia twambieni logically mnadhangilia nini hasa kutoka kwenye kitimoto mpaka balimi njooni kwa hoja!
  8. L

    Joseph Musukuma na Madiwani Geita Wafikishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka manne

    Ni kajinga mno, may be na kale ka ukosefu wa elimu kanachangia! Kafungwe tu maana kiherehere kimezazidi mbaaafff kabisa!
  9. L

    Mbunge wa CCM, Joseph Msukuma mikononi mwa Polisi kutokana na vurugu katIka Mgodi wa GGM

    Kafungwe tu maana kiherehere na ni kajinga mno.........! Elimu Elimu, Eeeeeeelimuuuuuu!
  10. L

    Serikali ya awamu ya tano imetaharuki kujeruhiwa Lissu

    Hakika Nguvu ya Mungu imeonekana< Hakika pia Lissu amelipigania Taifa hili mpaka Damu yake kumwagika kwa ajili ya Taifa hili, nionavyo binafsi huyu ndie afaaye kuungwa mkono na daima tumwombee kwani ndie raisi ajae !!!!!!!
  11. L

    Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au ni Magufuli tu?

    Usisahau na Mijinga isiojielewa!!!!!!!!!!!!!!
  12. L

    Aliyevujisha siri ya Bombadier kwa Lissu asakwa

    Hapana kawamwagia upupu sasa hata wale ambao hatuwajui tumewajua....... !! Wacha muvi iendelee maana mi kwa kasi alioanza nayo mkuu nilijua kila wiki lazima tupate update lakini nilivyosikia walioenda kwenye majadiliano ni siri nikajua hapo ni cheche, any way siku bado zipo wanaweza wakaendelea...
  13. L

    Vipi update za mazungumzo na Accacia

    Wametutelekeza na Gu Mimba Gwetu hii imenichekesha saana Hahahahahaaaaaaaaa!!!! kwa hiyo wanaojidai wana uchungu waende Leba sasa!!!!!!:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes::mad::mad::mad::mad::mad::mad::(:(:(:(:oops::oops::oops::oops:!!!
  14. L

    Rais Magufuli kuwa imara kushikwa kwa bombadia ni pigo la kwanza kati ya kumi

    Ni sikubali kama ni wezi, Wezi ni wale madalali waliotangulia maana waliidalalia nchi yetu kwa makusudi ya matumbo yao na sasa tunashikana uchawi cha msingi hapa katiba ibadilishwe ili ile kinga Ife kwanini mnalikwepa hilo? Tunahangaika na wezi na ili hali wezi tunatembea nao kwenye makoti poor...
Back
Top Bottom