Recent content by Le' Cappuccino

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mons Liberatus Sangu ateuliwa na Papa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga

    Kwa CV yake ya anaonekana anastahili. Ila Vatican watufanye jambo kwa Askofu Nzigirwa na Kilaini.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dressesd to Kill

    Nisome mafundisho ya kiislam yanisaidie nini? Kulaani hamruhusiwi ila kuchinja watu na kuua kwa mabomu ya kujitoa mhanga ndo mnaruhusiwa!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Dressesd to Kill

    Are you serious kwa hili swali?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Bondia Francis Cheka ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kumpiga Meneja wa Baa

    Daah, ubabe ulimzidi asee. Kumbe alikuwa na fursa ya kumaliza nje ya mahakama akagoma! Basi, kichwa kilijaa akajiona yupo juu ya sheria.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dressesd to Kill

    Alshabaab= Waislam, Boko Haram=Waislam, Al Qaida= Waisalam, ISIS= Waislam. Vikundi vyote hivi ni vya kigaidi na hata siku moja sijasikia nchi za kiislam au global Islamic societies zinavilaani, wacha kufanya effort ya kupambana navyo. Halafu unasema tunautukana Uislam? Uislam unatukanwa na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Bondia Francis Cheka ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kumpiga Meneja wa Baa

    Kwa hiyo adhabu imechochewa na mambo mengine binafsi? Lakini, si alimpiga kweli?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lipumba ahutubia bila Polisi

    Wewe mama yako huwa anamshauri nini baba yako?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nimewafukuza Polisi waliopanga kwenye nyumba yangu

    Wee ni mpuuzi usiojuwa hata unachokiandika. Hakuna sheria inayoruhusu polisi kumpiga mtuhumiwa asiye na silaha na asiyeretaliate. Nakushagaa unaongelea kulindwa kwa sheria wakati polisi wamezivunja. Lazima utakuwa ni nyumba ndogo ya polisi uliyeharibiwa tigo wewe.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Trafiki wa kike na vimini

    weka picha
  10. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji

    CCM is a National tragedy, JK is a "natural curse" before he was born.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    Matatizo yote haya ni udhaifu wa JK.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wosia aliouacha prof Muhongo mmeuelewa?

    Wameficha mikataba waliofunga na makampuni ya kuchimba gesi na mafuta leo hii anakuja kusema tuwe makini. Angeanzia kuiweka wazi hiyo mikataba.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Saa zinauzwa

    Haa....kwa anayejua bei ya saa kama OMEGA, ROLEX, HUBOLT etc anacheka sana
  14. L

    JamiiForums Tanzania Makengeza huitwaje kwa Kiingereza?

    Bending of the eyes!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Toyota Prado for Sale

    Hili tangazo halijajitosheleza kiongozi. Weka taarifa kamili za gari kama Engine capacity, Mileage, Mwaka wa kutengenezwa, imeingia lini hapa, ina deni lolote na zaidi sana weka BEI. Pia, ukitupia picha za ndani ya gari sio vibaya.
Back
Top Bottom