Origino Omega 30,000/-......?????????????
Origino Omega 30,000/-......?????????????
Origino Omega 30,000/-......?????????????
ngoja watakuja wazee wa vijisent wale wa escrow kununua hizo saa.
wewe kwa siku unaingiza sh.ngapiKuvaa saa ya Tshs 28000 lazima uwe fisadi? Oh sasa hii ni too much aisee
NImehis ufanyi biashara maana haiwezekani ushindwe kuweka namba za cmu alafu udai unauza
Haa....kwa anayejua bei ya saa kama OMEGA, ROLEX, HUBOLT etc anacheka sana