kama hakuna muongozo huo na Rais akatumia nguvu kwa kua yeye ni rais, huku watumishi wengine hawapati fursa hiyo , rais atakua anajidhoofisha zaidi kwenye hii taasisi yake
nakubali, ila hata hii moro - dar ordinary kna muda hata kwenye mfumo yalikua hayajai vizuri, lakini kama imefika stage ukiitaka lazima ubook kabla maana yake demand imeongezeka , hata kuongeza ruti inakua rahisi,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.