Recent content by lawyerrr

  1. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania NINI FAIDA YA NYUZI MAALIMU NA NANI HUZIANDAA?

    Uzi maalumu wa wazinzi.haha hahaaaaaaaa.upo humu huu
  2. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania NINI FAIDA YA NYUZI MAALIMU NA NANI HUZIANDAA?

    Kichwa cha habari chahusika,nangoja tu wahusika kuhusika.kila muhusika nimemuhusisha. Humu kuna nyuzi kama Uzi maalumu wa picha za watoto wakali,Uzi maalum wa kupena like na comments.nk Nataka kujua tu nilichouliza hapo kichwani
  3. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Asante mkuu
  4. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Tajiri niwewe unaetukashifu watumishi.babaako sijamkashfu ila nimemsifia kwa malezi bora.soma vizuri
  5. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Hakuna nilipolalamikia mshahara.nimekalamikia hako kamladi kangu mbali na mshahara.Hutanielewa mpaka pale babaako atakapoacha kupanga bajeti ya chakula kwaajili yako.
  6. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Sina simbanking ndo shida hiyo,ningekua nimeangalia
  7. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Uhakika mkuu?maana nimebaki na hela ya nauli tu hapa
  8. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Mkuu saa nne sahizi,benki zote zimefunguliwa.pia wapo wanaopata taarifa kupitia simu zao
  9. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka?(23/03/2018

    Habari zenu jamani.naomba watumishi mnijuze kama tayari shimo limetema. Nilijichanga changa nikanunua kagari ka biashara sasa kamepata hitilafu kamekomba hela zangu zote.nategemea tu mshahara nikafufua kagali kangu kaendelee kupiga mzigo namimi nilipe madeni ya watu. Ama kweli ng'ombe wa...
  10. lawyerrr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada una sura nzurii.....

    Oh nikweli dada unasura nzuri
  11. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuruhusu Chuo Kikuu Huria kuendelea kutoa kozi ya 'Foundation'

    Hii si iloshafutwa?
  12. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Hivi unamfahamu mtu mjinga kuliko wote? Ona hii

    Fact
  13. lawyerrr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguvu ya papuchi: Nimemtikisa kibiriti amfukuze mdogo wake kakubali

    Huyo bwege tu.mi ukininyima papuchi wala sikuulizi ,utaileta mwenyewee.
  14. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Niuzie gari ya abiria

    Unagari yoyote ya abiria weka hapa,huna acha maswali
  15. lawyerrr

    JamiiForums Tanzania Niuzie gari ya abiria

    Weka gari na bei yako nitakupm
Back
Top Bottom