Recent content by lawyer christina

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Nitafuatilia kesi za wehu nami niwehuke? Kumbe na ma padri mnaamini nguvu za Giza, hii ni hatari.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Jipya nililoona ni kwa Chadomo kusababisha watu kupoteza maisha kwa ujinga Kama ilivyotokea jana Morogoro, Hivi ile kesi ya Mnyika ya kusababisha mauaji Kule kwa Nchemba inaendelea vipi? Mpori naye anachekesha sana kapigwa mjengoni eti kisasi unamfuata MTU kwake si ndio balaa sasa.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Umekosea precise pangolin wamenidokeza watamsimamisha Yule Padri mzinzi WA kile chama cha Kanda ile ya kaskazini.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Safi sana ADC kazeni buti tuko nyuma yenu, hawa wengine wao sera zao za kuchombeza watu wakapigwe risasi za moto tu wao kimya.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Jina ulilotumia tu linaonyesha wewe ni WA mrengo upi! Eti Dalai Lama yaaaagh!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Aaah! Watu wengine mnachefua, eti kuongeza idadi ya vyama......watu hata hawajaanda mshikemshike ushahukumu acheni hizo chadomo! Kama mnaziamini Hofu ya nini?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid ataka Maalim Seif afungwe

    Hahaha afungwe jela akanyolewe ndevu zake ili ajue Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Yani Makamu WA Raisi anadharau Amri ya Mahakama! Huyu ni jela tu! Hahahaaaa.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

    Maumivuuuuuuuuu!!
  9. L

    JamiiForums Tanzania Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Kopi kutoka wapi? Chadomo? Kuna nini cha kukopi huko? Kwanini hamjiamini, au mnaogopa kitumbua kinaelekea kutiwa mchanga?
  10. L

    JamiiForums Tanzania ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

    Na Chadema njaa, CUF njaa, CCM njaa, NCCR njaa, TLP njaa, DP njaa, UDP njaa, TPP Maendeleo njaa, NRA njaa, NA Uchu wa Madaraka.
  11. L

    JamiiForums Tanzania ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

    Basi chadema ni CCM 'K'. Woga tu umewajaa.....kwanza mnanuka Rushwa na chanzo cha habari ni Joseph Selasini.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Hili suala la Bendera Mbona Chadema mmelikomalia hivyo? Kwani kufanana rangi inawapunguzia nini au mnawaogopa hawa ADC? La Msingi hapa ni Kama wamejipanga kweli kwa ajili ya mageuzi NCHINI na sio vibaraka. hongera zenu ADC kwa hatua mliyofikia.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Mtamudu VIPi kumgundua kiongozi Kama ametangaza Mali zake zote kihalali/kweli? (kwenye blue)? Namba moja (kwenye red) nimeipenda hii au ndio Yale ya Maalim Seif na CUF yake? (usultani) Je?ni kweli wengi mlioanzisha ADC ni wale mliofukuzwa CUF hivyo mnachuki iliyopelekea mfanyie kazi mapungufu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Huu Ni mwanzo MZURI (kwenye blue), nafasi za upendeleo kwa KINA mama na walemavu, japo walemavu mmeweka asilimia Ndogo lakini sio ishu, Sasa Je inakuwaje Kama hawatojitokeza kugombea nafasi husika? Ie: wanawake na walemavu, nafasi zao zinajazwaje?
Back
Top Bottom