ADC - Kitaweza kuvunja ngome ya Chadema, CUF?

:bange:vyama vingine bwana....eti mlezi wao yuko ccm B alafu chama kinajiendesha na wavuta bange kadhaa kwa mda.......njaaa mbaya aiseee!!wamegombea ruzuku ccmB wameona waanzishe ADM ili watoto wao wapishane vyooni.....chezeya njaaa....maalimu seif hala yeye peke yake yahe....

hicho kikaragosi ulichokiweka na comment yako.....it's obviously wewe ndio mvuta hiyo kitu hapo nilipoBOLD.
 
AKIMA hamad rashid wana akili za kijinga hawawezi kunishawishi nijiunge ADC

HIVI LENGO LAO NI KIVIONDOSHA CDM na CUF??

Hapa mjinga ni nani? Wewe AMA hao kina Hamad Rashid? Umuhimu wako ni upi haswa hadi Watu wa'take trouble kukushawishi ujiunge ADC.....Sisi tunawashawishi WaTanzania wajiunge ADC kwa ujumla wao, hatujalenga MTU Fulani (mfano wewe ambaye hata jina unatumia feki humu JF) Tunatambua fika kwamba sio wote watakaotuunga MKONO japo tungependa iwe hivyo, Lakini ndio Siasa itikadi zetu haziwezi kuwa sawa na za Chadema, CUf AMA CCM same as TLP Etal.
Sera zetu ndio zitafanya kazi ya kuwashawishi WaTanzania sio MTU na Kama unafuata MTU hukaribishwi kwenye chama Chetu hatukutaki.
Karibu ADC - DIRA ya mabadiliko.
 
ADC ni chama dhaifu, kama ingekuwa bidhaa basi ni bidhaa za kichina kwa kauli hii ushahidi utajidhihirisha hapo baadae kwani 2015 CCM ikiondoka madarakani na kufa kabisa kama KANU na ADC hivyo hivyo.
 
Kwani lengo la ADC ni kuidondosha CDM au CCM ili kuchukua dola? Kama lengo lake ni kuidondosha CDM basi hakifai na kimekufa kabla ya kuzaliwa. Kinachotakiwa na watanzania kwa sasa ni chama au vyama vitakavyoweza kuwaongoza kuondokana na joka kuu CCM ambalo limevuruga maisha na mastakabali wao. Hivyo, kama ADC kimeundwa kuidondosha CDM kitadondoka hata kabla ya kuingia vitani. Laiti kingedhamiria kukosoa makosa ya CUF ambayo ndilo chimbuko la chama hiki. Kama kitakamia kuiangusha CDM basi kitakuwa pandikizi na nyemelezi la CCM. Heri wahusika watambue hili haraka na kuachana na mipango uchwara ya kuangusha wengine.

Jana nilikutana na Katibu mkuu wa hiki chama cha ADC Bwana Limbu, nikamshangaa kupindukia, yeye mashambulizi yake yote yalikuwa kwa CDM. Nikamuuliza kwani CDM ndicho chama tawala? hakuwa na jibu, nikamuuliza kwani lengo lenu ni nini/ akaniambia watafanya kufa na kupona CDM kisiingie madarakani. Nikampa jibu fupi tu "Mmeshindwa kabla hamjaanza."

Inavyoonyesha wao mgomvi wao si CCM wala CUF, mgomvi wao no. 1 ni CDM. wanasahu jambo moja kuwa watanzania wa leo sio wa jana, wanajua kupima, na kwa sasa wajue tu kuwa mioyo ya wa TZ iko kwa CDM.

ADC angalieni sana, sisi CDM tutakapowaunganisha kama maadui wetu, jueni kuwa huo ndio utakuwa mwisho wenu, kwani.
 
hao ADC,NDIYO WANAFADHILIWA NA CCM,SI MMEONA HATA USAJILI WAO ULIVYOENDA FASTA.POLE YAO,BORA WANGESIMAMA KWA MIGUU YAO MIWILI MAANA CCM HAWANAMAANA KABISA.HONGERA TENDWA KWA KUWATENGENEZEA MANAT CCM.

CCJ ILINYIMWA UASJILI WAKATI ILITIMIZA MASHART YOTE,ADC AMESAJILIWA WAKATI VIONGOZI WAO WAKO KWENYE CHAMA KUNGINE CHA SIASA.
KWELI TUNAMSAJILI DHAIFU NA MCHUMIA TUMBO.
TENDWA AKIRI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO BABANGU OH,SIKU ZA USONI UTAJUTA.
 
ndoa ya CUF na CCM , ni ule ujauzito wa ndoa yao wamejifungua mtoto anaitwa ADC. huyu mtoto lazima atakuwa ni wa ajabu sana kwakua historia mbaya naTabia na hila chafu za wazazi wake zinatikiingiza kaburini mapemaaa!
 
Kumbe ndio maana wakaweka rangi kama za cdm ili wakati wa kupiga kura watuchanganye

Umeona eeeeeeh!!! hata mi nilishitukia janja yao hiyo. wao waingie tu ulingoni wamwage sera zao waone kama watanzania watawakubali, wasianze manyang'unyang'u tena.

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Jana nilikutana na Katibu mkuu wa hiki chama cha ADC Bwana Limbu, nikamshangaa kupindukia, yeye mashambulizi yake yote yalikuwa kwa CDM. Nikamuuliza kwani CDM ndicho chama tawala? hakuwa na jibu, nikamuuliza kwani lengo lenu ni nini/ akaniambia watafanya kufa na kupona CDM kisiingie madarakani. Nikampa jibu fupi tu "Mmeshindwa kabla hamjaanza."

Inavyoonyesha wao mgomvi wao si CCM wala CUF, mgomvi wao no. 1 ni CDM. wanasahu jambo moja kuwa watanzania wa leo sio wa jana, wanajua kupima, na kwa sasa wajue tu kuwa mioyo ya wa TZ iko kwa CDM.

ADC angalieni sana, sisi CDM tutakapowaunganisha kama maadui wetu, jueni kuwa huo ndio utakuwa mwisho wenu, kwani.

Jamaa ongo hiliiiiii! Yani unaongopa kwa kiwango kukubwa namna hii.......ninyi ndio wapotoshaji misiojua tofauti ya Siasa na SiHasa.....ww ni Kama Bendera mfuata upepo inaonyesha hata ukiambiwa unye barabarani na Dr. Utakunya wewe!
hata Kama ni kweli sera ni kuhakikisha Chadema haikamati dola na ADC ni mshirika WA Magamba a.k.a CCM hakuna kiongozi yeyote atakayethubutu kutamka hadharani kwa namna unavyomzungumzia Katibu Mkuu wetu. Sisi sio wehu kumuweka madarakani kiongozi Zuzu KIASI hicho.
adc ni chama makini na mziki wetu advataiz mtaiona Bububu!
 
Kama wewe ndio mwenezi na unaandika uharo hivi, hapo hakuna chama ni genge la waislamu waliokosa ajira!
 
Kama wewe ndio mwenezi na unaandika uharo hivi, hapo hakuna chama ni genge la waislamu waliokosa ajira!

Mbwa Haruki najua ni eneo moja hivi baada ya kiboroloni Kama unatoka nje ya mji WA Moshi.....Kwa hivyo wewe utakua ni WA kulekulee! Inaelekea hii dhambi ya udini a.k.a ubaguzi inawatafuna kweli kweli Yaaani kidogo udini kidogo ukanda kidogo ukabila yani tabu tupu, eti genge la waislamu.....kwelii? Uharo ni upi sasa huu ulioandika hapa AMA ile comment yangu ya mwanzo?
 
ADC ni chama dhaifu, kama ingekuwa bidhaa basi ni bidhaa za kichina kwa kauli hii ushahidi utajidhihirisha hapo baadae kwani 2015 CCM ikiondoka madarakani na kufa kabisa kama KANU na ADC hivyo hivyo.

Chadomo bana woga tuuuuuuuu! Jibwa hilooooo! Cheki ulivyoruka hahaa
 
Jana nilikutana na Katibu mkuu wa hiki chama cha ADC Bwana Limbu, nikamshangaa kupindukia, yeye mashambulizi yake yote yalikuwa kwa CDM. Nikamuuliza kwani CDM ndicho chama tawala? hakuwa na jibu, nikamuuliza kwani lengo lenu ni nini/ akaniambia watafanya kufa na kupona CDM kisiingie madarakani. Nikampa jibu fupi tu "Mmeshindwa kabla hamjaanza."

Inavyoonyesha wao mgomvi wao si CCM wala CUF, mgomvi wao no. 1 ni CDM. wanasahu jambo moja kuwa watanzania wa leo sio wa jana, wanajua kupima, na kwa sasa wajue tu kuwa mioyo ya wa TZ iko kwa CDM.

ADC angalieni sana, sisi CDM tutakapowaunganisha kama maadui wetu, jueni kuwa huo ndio utakuwa mwisho wenu, kwani.
sishangai!!!
limbu alipohama cuf aliingia cdm na matakwa yake ilikua ni kutaka kugombea tena ubunge jimbo la temeke 2015 kwa tiketi ya cdm. Kwa bahati mbaya/nzuri wazo lake likagonga mwamba kwakua cdm wana mipango na mikakati ambayo haiyumbishwi na matakwa ya m2 binafsi! So baada ya kutoswa nadhani ndo sababu hasa za kuichukia cdm! So cshangai adc kua mpinzani wa cdm!
 
Back
Top Bottom