Recent content by Lawrence Msigwa

  1. L

    JamiiForums Tanzania I want to know how to calculate dose

    How to calculate dose?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Eti, Hemed PHD kuna mtu ana details za life lake?

    Sasa hivi kaamua kuimba mziki wakati hawezi sio fani yake anamaliza hela tu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Nani kakwambia kama tunaiba?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe za Mzee Akilimali wa Yanga

    Aaaaaaaaaaaah noumer
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kama una simu pita hapa upige kura

    Android
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je! VETA kuna kozi ya medical Labaratory?

    Naomba mnijurishe kama VETA kuna kozi ya MEDICAL LABORATORY na Ada ni shilingi ngapi na Muda wa kuanza kusoma ni mwezi wa ngapi?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Richard stephen wa ITV amesoma lini utangazaji?

    Utangazaji ni kipaji
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kuhusu medical laboratory

    Asante matokeo yakitoka ndo nianze kuangalia vyuo vya serikali je vyuo binafsi havifai?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Kuhusu medical laboratory

    Mimi ni kijana niliemaliza kidato cha nne mwaka jana naomba mnisaidie nikisomea medical laboratory ninakuwa nani na kazi nitaomba sehemu gani nikimaliza kusoma
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Paschal William Chuo kizuri ni vile vinavyotoa elimu bora utakuta chuo kina majengo mazuri kumbe elimu wanayotoa ni ya ubabaishaji
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wezi wa simu Kariakoo Jijini Dar es Salaam

    Aaaaaaaaaaaah ndo wanajitangaza mbona wapo wengi tu huko kariakoo
Back
Top Bottom