Sasa mapovu ya nini dada...:smiling:? kwa taarifa yako, ile kazi sikuwa namjua mtu, na wote tuliopata tuliitwa fresh from school, na hilo kabila unalijua wewe unalosema,na pale tulikuta kuna ukabila wa kichaga, ila mie mtu wa nyanda za juu kusini, na kazi yenyewe ilitangazwa 2010 november...