Recent content by lautanyi

  1. L

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

    Kuna mtu vilimtokea baada ya kushiriki na msichana miaka ya 70. Alikuwa na mdogo wake daktari akampa dawa ya kupaka nadhani ni potassiom permanganate na dawa nyingine zilichanganywa. Vikawa vimepotea kabisa. Ila nguo za ndani zilikuwa zinapata rangi ya zambarau. Vijana wa maabara hispitali...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi neno la Mungu (Biblia) linavyoweza kukupa mbinu na fikra kwenye maisha

    Mahali popote unaposali kwa siri Mungu ndio anapenda mf chumbani ukiwa mwenyewe bila mtu kukuona, ofisini, kwenye gari, bus, ndege, meli nk
  3. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Dressing code ni muhimu hasa serikalini na mashirika yake. Vaa nguo za kawida tu. Suruali na gauni za kawaida ndio nzuri
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na kitendo cha Freeman Mbowe kujumuika pamoja na Wanaotuua

    Tuseme tu hujakaribishwa. Pesa utoe za ujenzi umeme toka huko unatumia vipi usiende kwa sherehe ya ufunguzi?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    Kuna watu wachafu wakiwa na taka wanatupa mahali popote.Hasa dar pia ambako hakuna mapipa katika mji ya kuweka au kutupa taka labda seheme naalumu kama hospital
  6. L

    JamiiForums Tanzania MUNGU ni mmoja tu, hana mtoto, hakuzaa wala hakizaliwa wala hafanani na yeyote yule

    Mungu yupi unayemsema? Kama ni huyu sliyeumba binadamu na viumbe vyote na mbingu Yeye anaweza kufanya au kuumba kitu chochote kwa muda aliopanga. Au kuwa kitu chochote ili watu waweze kuntambya zaidi baada ya makosa ya Adam
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu hakuwahi kuombea Mgonjwa?

    Amuombe Nani. Yeye ni Mungu aliyekuja kujionesha kibinadamu kuwa yupo ni wa kweli.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkiwa bado katika debate ya kwamba hauwezi fanya biashara Kariakoo bila uchawi, wachina wana takeover taratibu. Mbona hamuwarogi sasa!

    Hivi karibuni nilihitaji mfuniko wa chrmba. Size 49 kwa 40sm. Toka mwenge kuelekea Bunju bei ni 40000. Ila Manzese ni 22000. Tifauti ya 18000. Wote wamenunua kwa mchina haoa hapa Dar es salaam. Wafanyabiashara wa kutoka Mwrenge hadi Bunju wanaweza kuwa wanatuhujumu sisi?
  9. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini wenye nyumba Tanzania wanalazimisha kodi iwe miezi mitatu au sita?

    Ungekuwa na nyumba ya kupangishs ungeelewa sababu. Mfano wa kwangu alikuwa ananilipa kila baada ya miezi mitatu. Akaomba iwe kila mwezi lakini inafikia miezi 3 hajalipa na akilipa ni nusunusu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Binti wa Chuo anataka nimuoe na nimvumilie amalize masomo, najiuliza itakuwaje badae?

    We uendeleze urafiki tu sio wa kuoa wala nn. Usigharamie kumsomesha mchumba. Jihadhari yalimtokea jirani yangu miaka hiyo ya 1975
  11. L

    JamiiForums Tanzania "Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

    Kwani nabii Selemani alikuwaje. Unataka ufunfishwe na nani kuwa hakuna mwana haramu?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimepakumbuka Moshi Technical Secondary school

    1970 form one azimio shule ilikuwa nzuri sana kimajengo. Orchad kuna machungwa machenza ba na mabalungi. Papai tunanunua huko kijiji kinaitwa matunda
  13. L

    JamiiForums Tanzania DC Kibaha aachana na mkewe, kisa Matokeo ya DNA

    Nenda ukapimie Kenya hakuns uongo wala ustawi wa jamii kuingilia
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nmeacha kazi bila kumshirikisha mwajiri, Je naweza Kupata NSSF yangu?

    Kuacha kazi una haki vipi unetoroka? Sasa rudi ukaandike barua ya kuacha kazi toja tarehe ulipiachs. Wakijibu huo ndio ushidi hauko kazini.
Back
Top Bottom