Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, Public toilet,jiko, dinning na stoo na choo Cha nje .Nyumba bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100. Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320. Nyumba...