Nauza nyumba Tsh. Milioni 38 ipo Morogoro Mjini

Nauza nyumba Tsh. Milioni 38 ipo Morogoro Mjini

laut

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
28
Reaction score
4
Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, dinning na stoo, Public toilet, jiko na choo cha nje.

Bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100.

Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320.
Nyumba ni ya kwangu mwenyewe.

WhatsApp Image 2019-04-06 at 11.23.47 AM.jpeg
WhatsApp Image 2019-04-06 at 11.23.53 AM.jpeg
WhatsApp Image 2019-04-06 at 11.23.55 AM (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-04-06 at 11.23.57 AM (2).jpeg
WhatsApp Image 2019-04-06 at 11.23.59 AM (1).jpeg
WhatsApp Image 2019-04-06 at 11.23.59 AM.jpeg
 
Daah hi inyumba kwny hizo picha mbona imebomoka sakafu na nyufa nyingi sana mkuu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu mbona hii nyumba madirisha yanaonekana yameliwa sana na mchwa
 
Mkuu mbona hii nyumba madirisha yanaonekana yameliwa sana na mchwa
Kamera iliyopiga picha tu sio nzuri madirisha ni ya grill, mchwa hawawezi Kila chuma
 
Watu wanaomba picha huku waione...

SUKAH...
 
Picha sasa ndio nimeweka usichelewe kama unahitaji maana bei nimeweka ndogo sana ukilinganisha na uhalisia
 
Nauza nyumba Morogoro Kihonda Veta (Yespa) ina vyumba vinne Kati ya hivyo viwili ni self, sitting room, dinning na stoo.Nyumba bado haijafanyiwa finishing. Ukubwa wa kiwanja Cha nyumba hiyo ni Sq mita 1,100. Kwa mahitaji piga 0755630063 au 0654309320
Hii nyumba mali yako au wewe dalali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom