Recent content by laurent ndaki

  1. laurent ndaki

    GE2020 Ili kushinda uchaguzi, upinzani unatakiwa kutumia akili ya ziada

    Sasa hapo umetoa hoja gani mkuu?kwamba wapinzani wameifanyia nini nchi hii!are you serious?
  2. laurent ndaki

    Bernard Membe same old story

    Kwa hiyo wewe unaamini hao ni wakubwa mno kuliko yeyote,hivyo kwa vyovyote vile hawawezi kuomba msamaha?
  3. laurent ndaki

    GE2020 Tundu Lissu: Nitazungumza na Taifa Jumatatu, 8 Juni, 2020 kupitia Facebook Live Streaming | 14:00 EAT 13:00 CET 7:00AM EST (USA)

    "Wamekuhakikishia" wewe kama nani kwao?"knowledge forever will govern ignorance"by James Martison.
  4. laurent ndaki

    GE2020 Lissu na Urais 2020: Fursa na Changamoto

    Hapana shaka,Lissu hakamatiki,najua wanajua kwamba Lissu anajua wenye dola watamkabidhi vipi dola!!
  5. laurent ndaki

    GE2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

    Unacheka nini wakati umeulizwa swali?tuambie kama unajitambua au la? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. laurent ndaki

    GE2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

    Bila shaka wewe ni brother Nyaikoba?Ndaki huyu! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. laurent ndaki

    Maoni ya mdau kutokana na hotuba ya Rais Magufuli juu ya Corona

    omganya, Mawazo yako yana mashiko sana,ila bahati mbaya wewe si sehemu ya watu wanaomzunguka Rais, hivyo yatabaki humu tu jamii forums bila kuwasaidia watanzania zaidi ya milioni 50.Wanaomzunguka Rais wetu wako bize kuimba pambio za kumsifu tu Rais na sasa wanaimba nyimbo za kuabudu kabisa e.g...
  8. laurent ndaki

    Naomba nipumzike kila nikipenda naishia kuumizwa.

    Bwana mdogo nadhani tatizo liko kwako,ingawa wewe ndo unayetendewa hayo.Kama utataka nikueleze matatizo yako mimi niko tayari. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. laurent ndaki

    Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

    Lakini before, jamaa alikuwa anabeza sana,trust me as a nation we have a long journey. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. laurent ndaki

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Kabla hatujasubiri hiyo October yako,tupe kwanza vithibitisho vinavyokufanya upanue kifua chako kwa kudhani kujidanganya kuwa October mtafanya wonders? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. laurent ndaki

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Mbona unakimbilia topic nyingine mkuu?nijibu kwanza hoja yangu ya msingi then tutaendelea tu kwani kuna tatizo gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. laurent ndaki

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Mazuri ya Dr.Dlaa yataendelea kukumbukwa na kila mtu ndani ya Chadema na hata nje ya chadema,lakini mazuri yake kamwe hayawezi kutumika kama kibali cha yeye kuwa zaidi ya maamuzi ya wajumbe zaidi ya elfu moja ya vikao halali vya chama.Any way, umewahi kujiuliza ktk tofauti hiyo kama angeamua...
  13. laurent ndaki

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Hiyo damu ilimwagwa na chadema au?yaani damu hiyo iache kuwaandama nyoka wa kijani walioimwaga ije iwaandame watetezi wa wanyonge!!?who are you by the way? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom