Mtoa maada ulipaswa ulipaswa kusema hivi:uhasama baina ya Yuda na Ukawa, halafu tukukumbushe kuwa CUF haijasimamisha mgombea kinondoni,isipokuwa Yuda amesimamisha mgombea wake ikiwa ni mwendelezo wa uyudalism wake.
Kitu ambacho watu Wengi hawakijui ni kwamba, kuwa kiongozi wa dini ni jambo jingine na kuwa Mtumishi wa MUNGU ni suala linguine, Kwa, hiyo kuna viongozi wa dini na watumishi wa MUNGU, hivyo viongozi wa dini wanawajibika zaidi kwa masrahi ya dini zao na masrahi yao binafsi, lakini watumishi wa...
Naona watu mnatoka povu sana kwa jambo ambalo ni explainable, mshahara pekee hauwezi kuwa determination value issues,bali matumizi (expenditures) ndio kitu cha msingi than all of all. Eg unakuta mtu anamshahara mdogo lakini ana nidhamu ya matumizi hivyo anaweza kuwa na akiba nzuri ya fedha...
Haya mazingaombwe yametuchosha hivi tangu lini mtu akitaka kujiunga na chama flani anatuma maombi? Kwani siku hizi kuna application forms kwa wahamiaji wa vyama? These issues are only for this term!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.