Ushauri wangu kwa figganigga au @Moderators kwamba hizo kata 43 ijulikane awali kwamba CDM AU CCM na vyama vingine nani alikuwa na kata ngapi ili kujua kwamba nani amepanda kwenye kunyakua viti vya udiwani au nani kashuka,ni muhimu sana
Vijana wa Lumumba kwa kujiridhisha hamjambo,unadhani hayo yatakapokuwa yanafanyika Raia watakaa kushangaa shangaa wakati huo wawakilishi wa vyama wana matokeo yaliyokwishajumlisha kwa pamoja? Endeleeni kujidanganya
MMM tulipoikataa CCM na mambo yake yote uliendelea kuishabikianCcm kwa kiwango cha juu sasa haya malalamiko yako hayana tija tena,zaidi tunamuombea Maxence Mello atoke salama na awashinde hawa wadharimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.