Recent content by Latoyamrosso

  1. L

    Wizara ya Elimu: Shule za bweni shule za msingi zifungeni. Ni uzembe wa malezi

    kuna shule ipo kigamboni inaitwa Excle hawa wanasema lazima darasa I la nne na la saba wakae boarding, lakini mtoto ukienda kumuona amebaki mifupa, ooh bila kukaa boarding hata pata matokeo mazuri maana masomo yanaanza saa 11 alfajiri. Waziri kataza hii kitu hata sisi tulisoma day mpaka...
  2. L

    Naomba ushauri kuhusu network market ya Neolife

    Mimi nilitumia za pid nikapona, shida ni moja hawaelezi ukweli kuwa dose mmoja haitatosha kukupa matokeo kwa sababu zile siyo dawa ni supplements, mimi nilipata mtu mkweli nikamweleza changamoto zangu alinijibu nitapona lakini lazima nijitahidi kuacha baadhi ya vyakula pia dose mmoja haitamaliza...
  3. L

    Msaada wa matatizo haya ya kiafya ya mwanangu

    Pole dear ungewahi hospital kwanza kwa uchunguzi, si dhani kama kama ni hali ya kawaida
  4. L

    Plot4Sale Mkuranga heka 10

    Yes siyo mbali. Hata mimi nilisikia lakini sijui kaishia wapi huyo mtu
  5. L

    Plot4Sale Mkuranga heka 10

    Yes sorry ni 85 maana mpaka mkiu nina mashamba mengine ni 100
  6. L

    Plot4Sale Mkuranga heka 10

    Asante mkuu kwa offer yako lakini haitanilipa
  7. L

    Plot4Sale Mkuranga heka 10

    Asante sana nakupita hapo mkuu
  8. L

    Plot4Sale Mkuranga heka 10

    Kilometers 65 nauli kutoka mbagara hadi hapo ni 2800
  9. L

    Plot4Sale Mkuranga heka 10

    Nimesema kijiji cha pili kutoka kimanzichana kinaitwa ngonja
  10. L

    Plot4Sale Mkuranga heka 10

    Habari, nauza shamba heka 10 na heka 4 zipo kijiji cha pili kutoka kimanzichana kilometer moja kutoka barabara ya kilwa. Shamba la heka 10 ni shamba Pori linafaa kwa kilimo na ufugaji, matumizi ya baadae litafaa kukata Viwanja maana barabara ya kilwa ikipanuliwa yenyewe itakuwa kiwanja cha...
  11. L

    GE2020 Kesho ndiyo kesho kura za maoni CCM. Asiye na mwana na....jiwe!

    Nafatilia jimbo la ukonga maana mpaka sasa sielewi
  12. L

    GE2020 Gwajima: Aliwatusi Kardinali Pengo, Waislamu, CCM, Makonda, leo yupo jukwaani

    Dah!akisoma hii anaweza kulia baba mtumishi.
  13. L

    Plot4Sale Viwanja Kingamboni Mwasonga

    Sawa mkuu ni hela nyingi hiyo lakini afadhali afanye 5 kuna gharama za mwanasheria hapo na za hati.
  14. L

    Plot4Sale Viwanja Kingamboni Mwasonga

    Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3 nyingine umalizie ndani ya muda tutakao kubaliana Vimepimwa na vina hati ukilipa cash unapata hati...
  15. L

    Shamba linahitajika Wilaya ya Kisarawe

    0752363857 mkuu samahani nimechelewa kujibu
Back
Top Bottom