Ndo ukwel haina maana unafanya kazi tena kwa juhudi na maarifa but your not happy
Umezungukwa na mijitu ukiperform inakalia kukusema vibaya na kukununia ,kisa umeyazid uwezo,so kipi bora? Nipretend kuwa lever zao afunipoteze ndoto zangu?
Si bora tuyaachie ofic zao yajiachie tu
If you good you...
Ndo nayoyasema haya wabongo kwa kikatishana tamaa hatujambo
Eti job security serikalin ipi hiyo?
Mwenyewe nshaamua kusepa sijal
Kwan waso na ajira serikalin hawaishi?
Juzi kati nimelipwa chek ya 10 na kampuni moja is insurance,nimepanga 5 nifungue business,halafu 5 za kula na family...
Hahahah
Tulikuwa tukikaa ananiuliza una plot ngapi?baby nipe mil 3 na shida nayo ukimwambia sina ananuna
Mara aniulize una kiasi gan bank nikimwambia unataka jua yangu tu mbona yako husemi anakasirika na kusema simuheshimu
Siku nikamwambia twende kwako akanambia ntakwambia ila hola ,hadi...
Wee wanaume wengi wako hivo skuizi halafu wasomi wana kazi hadi aibu ,yani daily mwanaume anakuomba hela kama demu
Mie nilimwambia usiniombe hela please sina akakasirika eti simheshimu,halafu ajabu sijawah mwomba hata mara moja
halafu wanaona ni haki yao kupewa, ukimnyima ananuna
Kweli kizaz...
Si nasoma kila leo watu walivyolizwa humu halafu nami niingie kama nyumbu lol
Isitoshe sijasomea maswala ya finance
Mie nimesoma real estate
Kwann nifanye kitu sina hata ujuzi ama ufahamu nacho?
Nadhani wengi hawajanielewa,sina lengo la kuacha kazi instantly
Nataka nianze biashara mdogomdogo nikijipanga kuacha mbelen
Pia itanipa fursa ya kuwa busy na biashara yangu,nitadodge kwenda ofisini daily
We nawe nyumba si hata chumba na sebule ni nyumba au?kagari kenyewe vits, ishu nikupata wala la biashara ya kunikeep busy nisipoteze ndoto yangu
Na kujiongezea kipato ilhal bado kijana
Habari za usiku sana bodi
Nikiri nimekuwa nakutana na hawa jamaa sana either kazin au mtaani,ila sana sana kazin.
Wanakuja kwa gear ya mapenzi and all that ila baada ya muda wanaanza kukulilia njaa.
Mmoja alijitambulisha ila wengine wawil niliwahis tu. Ishu kubwa wana njaa sana.mtu ana kubom...
Ni kweli jamaa kasema
Alichemka sana kurudi serikalini
Walikuwa wanamtafuta kitambo
Akatupiwa chambo kanasa
pole le big boss
We mpambanaji utarudi tu kwenye form
Yaweza kuwa kweli aiseeh niliwah fanya ngono kwenye gari yangu nilipiga mziga mara kadhaa mara ya mwisho niligongwa na semi trela gari ikafa kabisa ila Mungu ni mwema nilisavaivu,hakuna aliyeamini manake gari ilibondeka hatari hadi leo naogopa gari hatari ,naendeshwa au napanda daladala hadi...
And thas my dream
Sijifanyi mchapakazi Mimi niko hivo coz am creating my future sishindan na yeyote
Ilaukinipa jukumu ntatekeleza niko hivo
Nikisema niende kilocaloca hata kazin huwa siend
I need a purpose in life
It's either I perform or undeperfom
Nimelelewa hivo kudeliver
I always win or...
Nimejaribu sana naona jamaa ananifanya niichukie kazi yangu
Wakati nafanya kazi nikicreate cv yangu
We mtu anakukabidhi jukumu akiona umeperform kupita malengo,juu kwa juu anampa mwingine
Sasa si bora nisepe tu
Nguvu nazotumia govt wacha nizitumie kujinufaisha binafsi kabla sijachoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.