Nimejaribu kuangalia hizi grade za TCU na grade za chuo alichosoma mdg wng Ni kuwa zipo tofauti sana. Kwa mfano B ya TCU imeishia 50 wkt ukipata 50 ktk chuo alichosoma yy ni sawa na C afu uyu dogo hajafikisha GPA ya 3. 5 Kulingana na grade za chuoni kwao. So mtu kama huyu TCU wanamsaidiaje?
Undergraduate waliokusudia TCU ni wale ambao wanataka kudahiliwa kupitiwa TCU yaani wale ambao ndoto zao ni kuenda University. All universities zipo under TCU but Institutions Like Ifm and others wapo under Nacte na ndio maana ukiyasoma maelezo ya TCU hapo chini wanesema kuwa hzo institution...
Wanafunz waliomaliza diploma wanaomba kupitia nacte na mwsho wa kutuma maombi ni trh 31/5 ila badae muda huongezwa kwa lengo la kuweka sawa vile vyuo ambavyo havipo ktk nacte hii ni baada ya tcu kufungua system yao.. ila ukiwa umemaliza diploma na unataka kuenda degree unatakiwa uombe kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.