Msaada: Grade za chuo alichosoma na za TCU ni tofauti

May 20, 2016
33
8
Nimejaribu kuangalia hizi grade za TCU na grade za chuo alichosoma mdg wng Ni kuwa zipo tofauti sana. Kwa mfano B ya TCU imeishia 50 wkt ukipata 50 ktk chuo alichosoma yy ni sawa na C afu uyu dogo hajafikisha GPA ya 3. 5 Kulingana na grade za chuoni kwao. So mtu kama huyu TCU wanamsaidiaje?
 
...alisomea chuo gani?, isije kuwa kati ya vile 6 vilivyopigwa kufuli juzi!
 
Itakuwa SUA hiyo. Maana grading system yao iko tofauti na vyuo vingine vyote
 
Back
Top Bottom