Guys,,
mimi sidhani mleta mada umejiridhisha kwa kufanya utafiti na kujua ni kwa nini hawa wanyama wanaama kutoka Srengeti na kuelekea Maasai Mara, mbali na issue maji kuna suala la majani je hili litatafutia ufumbuzi gani? Pia kuna suala la ekolojia ambalo ndo kubwa linawafanya kuhama...
Mkuu,
Nadhani katika mada nilioleta hakuna mahali nimetaja kama mm ni wadini fulani. Bali nimeongelea ugaidi na siamini kama ugaidi ni dini bali uhalifu kama ulivyo uhalifu mwingine. Ndo maana nikasema ktk hili hakuna aliyesalama awe mkristu, Muislam ama mpagani. Mfano kwako wewe ambaye unahisi...
sidhani kama alisema hiyo, hebu tupe chanzo cha habari na sisi tusikilize, mimi sijaangalia hiyo video, ndiyo ameoneshwa akitamka hivyo kabla ya kuchinjwa au ni propaganda tu
Kabla hujatilia shaka maneno hayo hebu tafuta hiyo video uangalie na kuisikilza, haya maneno ameyaongea wakati amepiga...
NDIVO ilivyo na kwa msaada wa vyanzo mbalimbali vya habari mpiganaji ktk haya makundi kupewa jukumu la kutekeleza tukio la mauaji ya kukata shingo, lazima awe ni mtu aliyeaminiwa sana. La sivo unapewa kazi ya kujitoa mhanga ambayo mhusika naye anakufa kwenye tukio. Kifupi jamaa si tu ni...
Wakuu habari zenu,
Naomba wale ambao mawazo yao hayafungamani na imani yoyote tujadili hili jambo na pengine tupate kujifunza kitu kama si vitu.
Wengi wetu hapa jamvini mnatambua kuchinjwa mwandishi wa kujitegemea raia wa Marekani JIM FOLEY nchini Iraq. Cha kushangaza zaidi ni kuwa alitekeleza...
I call on my friends, family, and loved ones to rise up against my real killers, the US government. For what will happen to me is only a result of their complacency and criminality.
My message to my beloved parents, save me some dignity, and don't accept some meagre compensation, for my death...
Wakuu habari zenu,
Kwa wataalam wa sheria ninapenda kujua jambo lifuatalo kwani kuna ndugu yangu amejikuta ktk mvutano na mwajiri wake ili tuone kama kuna namna anweza saidika.
Mosi ya alikuwa ni mwajiriwa kwa mkataba wa muda maalumu, ambapo katika mkataba wake kuna vipengele vinavoelezea namna...
Habari wanajamvi,
Nahitaji wadau wa jukwaa hili mnisaidie kujua hii kitu make imekuwa ikinitatiza sana, tangu kuzuka mapigano kati ya waasi (ISIS) na majeshi ya serikali ya Iraq, serikali ya Marekani imekuwa ikidai kuwa ndege zake zitaendelea kuwepo nchini Iraq kulinda masilahi ya Marekani...
Asante Kwa ushauri nimejaribu kuangalia mtandaoni nyingi zinapatikana USA. Wasiwasi wangu ni kuwa naweza agiza lakini pindi itakapovunja hata sindano tu inakuwa issue
Wakuu,
Nawasalimu naamini hapa jamii forum ni mahali amabapo naweza kupata information ya kutosha. Kama kichwa cha habari hapo juu nahitaji mashine ya kuprint Tshirt ambayo inatumia karatasi. Kwa maana ya transfer paper na sublimation INK. Pia ningependa kujua kujua upatikanaji wa wino na...
Hivi unatambua kuwa yalikuwepo tangu awali kabla maeneo hayo kuchimbwa ama kubadilishwa uasili wake? Hivo kutokana na ongezeko la watu na mahitaji ya ardhi maeneo mengi yamechimbwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.