Ni masilahi yapi Marekani inayoyalinda kwenye ardhi ya Iraq?

LastCall

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
22
Reaction score
8
Habari wanajamvi,
Nahitaji wadau wa jukwaa hili mnisaidie kujua hii kitu make imekuwa ikinitatiza sana, tangu kuzuka mapigano kati ya waasi (ISIS) na majeshi ya serikali ya Iraq, serikali ya Marekani imekuwa ikidai kuwa ndege zake zitaendelea kuwepo nchini Iraq kulinda masilahi ya Marekani.
Swali:- Haya masilahi ni yapi?
Asanteni sana.
 
Kabla hujapewa jibu tueleze kama yanayofanywa na Isis Huko Iraq ni sawa. Je umeona unyama wanaotendewA binadamu wenzetu kwA kisingizio cha Allah? Acha marekani wasaidie kwani waarabu jirani hawaoni kama kuna tatizo.
 
Wrong question!

Hujamjibu swali lake kisha unamuuliza swali tena. Kua msitaarabu

hajataka kujua mambo wanayofanya isis,anataka kujua maslahi ya wamarekani ni yapi?

Bora umjibu swali lake kisha uchomeke yako.
 
Maslahi aliyonayo ni ya kiuchumi zaidi mkuu.

Uchumi wa marekani bado umejikita kwenye soko la mafuta. Kwa hiyo chochote kibaya kinachotokea kibaya kwa nchi kama iraq kitaathiri soko la mafuta na marekani ataathirika katika uchumi wake wa nyumbani.

Iraq ni moja ya nchi zinazotoa mafuta,kama isis watashika nchi wataharibu na kufuta utaratibu wa marekani kujichukulia mafuta iraq hivyo marekani kuathirika.

Hayo ndio mimi naweza kusema.
 
Wrong question!

Hujamjibu swali lake kisha unamuuliza swali tena. Kua msitaarabu

hajataka kujua mambo wanayofanya isis,anataka kujua maslahi ya wamarekani ni yapi?

Bora umjibu swali lake kisha uchomeke yako.
America walishasema hawatafanya cho chote Iraq hadi pale Isis walipoanza kuuwA watu kama wanyama. So the American interest is based on humanitarian and nothing else. They dropped food, water and they helped rescue the masul dam from the Isis criminals. Hayo hukuyasoma kwenye news?
 
Wapuuzi mko wengi.Nitangulize kutangaza imani yangu na msimamo Wangu
Mimi ni mkristo.YESU ni BWANA na mwokozi Wangu. Marekani ni wezi. Iraq hakuna wanacholinda isipokuwa kuharibu ,kuiba na kuua.Hizi ni kazi za shetani.Tusizitetee kwa kudhani tunautetea Ukristo. KRISTO hakuwahi kuwa mnafiki,siyo mnafiki na hatakuwa mnafiki.Marekani wanafanya uovu Iraq,Libya hata kwetu kwa kuutangaza na kuutetea ushoga.Tuwakemee na kuwaonya kama tunavyofanya kwa wengine.Ndilo jukumu letu wakristo
 
Yaani kwa akili yako unafikiri wanaopinga uwepo wa Marekani Iraq ni waislamu na wanaokubali uwepo wao ni wakristo?Ndivyo unavyofikiri?
Huamini kuwa kuna watu wenye free ideas bila mashinikizo ya dini zao?
Kama sivyo nitakuaminije wewe!!!!?
 
Wapuuzi mko wengi.Nitangulize kutangaza imani yangu na msimamo Wangu
Mimi ni mkristo.YESU ni BWANA na mwokozi Wangu. Marekani ni wezi. Iraq hakuna wanacholinda isipokuwa kuharibu ,kuiba na kuua.Hizi ni kazi za shetani.Tusizitetee kwa kudhani tunautetea Ukristo. KRISTO hakuwahi kuwa mnafiki,siyo mnafiki na hatakuwa mnafiki.Marekani wanafanya uovu Iraq,Libya hata kwetu kwa kuutangaza na kuutetea ushoga.Tuwakemee na kuwaonya kama tunavyofanya kwa wengine.Ndilo jukumu letu wakristo

Msabato masalia, wale mnaotaka kupanda ndege bila kulipia kitu na hata doc moja huna...
 
Niliwalenga wafuasi wakweli wa YESU KRISTO. Hakuna YESU wa madhehebu. Alikuwa na atabaki mkweli milele.Wafuasi wake daima ni wakweli.Ukristo si uovu. Hoja inayojadiliwa ni Marekani inalinda nini Iraq. Kwa maoni yangu wanalinda uovu wao. Tetea hoja unayoiamini.Matusi yanathibitisha yaliyojaa moyoni mwako
 
Kabla hujapewa jibu tueleze kama yanayofanywa na Isis Huko Iraq ni sawa. Je umeona unyama wanaotendewA binadamu wenzetu kwA kisingizio cha Allah? Acha marekani wasaidie kwani waarabu jirani hawaoni kama kuna tatizo.

Tafadhali usimwingize Mungu katika vita vya kisiasa (mimi ni Mwislamu lakini siwasapoti hao ISIS).

Uislamu sio uovu.

ISIS is created by USA.
 
Habari wanajamvi,
Nahitaji wadau wa jukwaa hili mnisaidie kujua hii kitu make imekuwa ikinitatiza sana, tangu kuzuka mapigano kati ya waasi (ISIS) na majeshi ya serikali ya Iraq, serikali ya Marekani imekuwa ikidai kuwa ndege zake zitaendelea kuwepo nchini Iraq kulinda masilahi ya Marekani.
Swali:- Haya masilahi ni yapi?
Asanteni sana.

USA inalinda Masilahi ya kuendelea kuiba mafuta ya Iraq.
 
America walishasema hawatafanya cho chote Iraq hadi pale Isis walipoanza kuuwA watu kama wanyama. So the American interest is based on humanitarian and nothing else. They dropped food, water and they helped rescue the masul dam from the Isis criminals. Hayo hukuyasoma kwenye news?

Humanitarian gani wee??

Masilahi ya America ni kuendelea kuiba mafuta ya Iraq tu (hili ndilo lengo lao kuu).

Hakuna wanacholinda isipokuwa kuharibu ,kuiba na kuua.

ISIS is created by USA too.
 
anajifanya hajui; chuki zake dhidi ya uislam Ndio zinamsumbua. Anaona Sawa na anafurahia waislam wakiteseka.
 
Wapuuzi mko wengi.Nitangulize kutangaza imani yangu na msimamo Wangu
Mimi ni mkristo.YESU ni BWANA na mwokozi Wangu. Marekani ni wezi. Iraq hakuna wanacholinda isipokuwa kuharibu ,kuiba na kuua.Hizi ni kazi za shetani.Tusizitetee kwa kudhani tunautetea Ukristo. KRISTO hakuwahi kuwa mnafiki,siyo mnafiki na hatakuwa mnafiki.Marekani wanafanya uovu Iraq,Libya hata kwetu kwa kuutangaza na kuutetea ushoga.Tuwakemee na kuwaonya kama tunavyofanya kwa wengine.Ndilo jukumu letu wakristo

Stupid!!!
 
Hana maslahi yoyote bali ni mwizi tu kama waizi wengine wa mafuta, wameuwa wangapi kwa ndege za kivita kwa kulinda pipe za mafuta anayoyaiba, na wenyewe IS wamejibu pigo kwa kuchinja journalist imewauma sana huyo mtu mmoja. Ni wabaguzi na ya kwao yanawashinda watatue ya Missouri kwanza
 
Ukitaka kufahamu nilichokisema itabidi kwanza kuelewa neno ISIS lina maana gani. Hivyo ninakupa homework ulete majibu;

I = ?
S =?
I =?
S =?
Sina sababu yoyote ya kuchukia uislam bali sipendi hili la kuuwa watu eti kwa sababu sio waislamu. kila siku huwa ninajiuliza hawa criminals wametoa wapi hii ideology? Je, wewe huoni kwamba ISIS walianzia Syria au unajifanya hulijui hili? Je, Syria ni America? Please do your homework and do not pretend to be blind man for the sake of religion. Let the truth and reality prevail!

Back
Top Bottom