Recent content by lastborntz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Je utumwa ilikua mipango ya Mungu ana ilitokea bahati mbaya?

    Usimuhusishe mungu kwenye mambo yenu yakidunia, ishi nayo itakusaidia [emoji3577]
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kero zilipaswa kutatuliwa na sekta husika, siyo mwenezi

    Uko sahihi sana ,, kwanin sekta husika zisiwajibike?? Kuna mambo hayako sawa wanatumia mwenezi kama ngao yao
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Bila shaka we ni chawa wake
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Hii nchi bana Yani mtu ambaye aliwahi kuhusishwa na mauwaji kipind Cha dkt magu Leo hii mtu yule yule tumchague awe Rais wetu??? Haingii akilini kabisa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kufikiri

    [emoji23][emoji23]
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kufikiri

    Alichokiongea kina ukweli ndani yake ,, sema kwa vile umepumbazwa na ujinga huwezi ukaelewa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ukiwa ccm unapoteza uwezo wa kufikiri

    Swali la kujiuliza ni kwanin hawataki kuachia madarakai??
  8. L

    JamiiForums Tanzania Chadema ni chama cha wahuni? wananchi kuitwa wajinga kisa wanamfuata Makonda ni kudhihirsha uhuni wao, wasusiwe haraka sana!

    Ni wachache sana wenye fikra pevu ,, kiuhalisia wananchi wanaojitambua hawawez kua wafuasi wa CCM,, kwa upande wangu sidhan kama chadema wanamakosa kuwaita wajinga,,
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maswali tunayopaswa kujiuliza kama Taifa baada ya kujua watoto wa Lissu ni raia wa Marekani

    Point sana mkuu[emoji1666]
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya: Mfupa Mgumu kwa Makonda na CCM

    Ifike mahali hii nchi ibadilike ,, hivi kweli mji kama mbeya ni wakukosa maendeleo kwasabab ya upinzani??? Viongozi wamejaa ubinafsi sana
Back
Top Bottom