Siku hizi maisha yetu yametawaliwa na sheria na kanuni tunazopata kutoka kwenye maendeleo yetu ya maarifa kwa jinsi tunavyo fikiri na kutafuta ubora wa maisha tunavyo ishi. Vitu vingi tumevichambua kwa faida na hasara kutokana na mahitaji yetu tunavyo hisi tunahitaji kuwa bora. Kila siku...
Mara zote kwenye maisha yetu tumekuwa na dhana ya kusema sijafanya kitu kwa matakwa yangu nimepitiwa au nime shawishiwa na shetani. Neno hilo limetukaa sana akilini na kutufanya kuna muda kujitoa kwenye wajibu wa tulichokitenda na kujutia kujiona hatuja kamilika kuwa wema ndani yetu.
Embu...
Siku hizi kila mtu anatafuta njia tofauti tofauti na wengi wanafundisha unawezaje kuwa makini. Ina onekana kuna tatizo kubwa la watu kushindwa kuwa makini kwenye wanachofanya na kupata mvurugiko kwenye akili zao. Tunashindwa kuwa na akili iliyotulia kwakuwa muda wote tupo kwenye mkanganyiko wa...
Kwa maendelea tuliyonayo kwa sasa tumefikia kujua vitu kadhaa kwa maarifa yetu pengine vinaweza kutupa afya ya mwili kama tukivifanya ipasavyo. Tunahisi tunaweza tukawa bora zaidi kuhudumia mwili kuliko wakati uliopota. Afya imetafsiriwa kwa upana sana na lengo ni kufikia kupata mwili wenye afya...
Kitu kinachofanya mpaka tunashindwa kujitambua ni uoga, uvivu, kujidanganya, tunapenda tuwe salama kiakili na tunashindwa kuangalia maisha kwa uhalisia wake.
Kwanini tumekuwa waoga kujiuliza binafsi yetu sisi ni nani kabla hatujasoma chochote na kuamini chochote.
Tukishia kujibu kila mtu abaki...
Kitu chakwanza kujiuliza ni Mungu ana dini yoyote kati ya zote ama ni wanadamu ndio wametengeneza dini ili wawe na Mungu. Haina maana kama Mungu ni mmoja na anamasharti tofauti kwenye kila dini.
Maana ya Mungu yenye maana ni nguvu ya uhai na akili iliyo kwenye kila kiumbe lakini haihusiani na...
Haimanishi kila mtu akiwa anaumwa na wewe umwe makusudi hata kama umeshajua ugonjwa. Maisha ni yako peke yako unajukumu nayo mwenyewe kuyaishi kama ulimwengu ulivyokupendelea sio kama watu wengine walivyokuwekea kuzuizi. Maisha ni mara moja.
Jamii imekuwa ni mwongozo wetu kwenye kuishi, hisia zetu mawazo na kufikiria mara zote yanatokana na jinsi jamii ilivyotutafsiria maisha. Kinachotokea ni tunakuwa zao la jamii inavyotaka na kukosa uhuru wetu binafsi kwa hofu unaweza kuwa na changamoto kutokana na mifumo yetu tulivyojiwekea...
Akili ni kiungo muhimu sana kwa kiumbe chochote. Vitu vyote tunavyotenda kwa kusema kwa hiari na bila kujua (moyo kudunda, kupumua na mengi tusiyoyajua) kwenye kuishi kwetu akili ina husika kwa asilimia zote.
Kwa jinsi tunavyoishi tulivyozoea kwenye mifumo yetu kutumia nguvu na kudhibiti...
Nyakati hizi tumekuwa tunaishi kwenye mateso kuliko furaha. Tumekuwa watumwa wa tabia zetu wenyewe tusizo zipenda. Na kupelekea maisha yamekuwa ya kujutia, mkanganyiko wa kimawazo na kujinyausha akili zetu bila kujua kwa "stress" . Kwaufupi ni kama tunaishi jehanam, amani na furaha ni...
Kinacho ongelewa hapa ukitaka ukielewe usiangalie maneno elewa kinachongelewa kwa kujihusisha nacho moja kwa moja. Maneno yana njia nyingi za kuelezea kitu moja. Usijiweke kwenye kizuizi cha maneno yanavyo fafanua jambo na utashindwa kuwa na uwanja mpana wa kuelewa ukiji akisia mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.