Recent content by Lasaroni

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mafriji used yanauzwa

    Mkuu nahitaji friji ndogo yenye freezer kama ipo please nijulishe
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=http://www.betshoot.com/&ved=0ahUKEwik6cafvsPOAhXsBcAKHeROBJE4HhAWCFEwBw&usg=AFQjCNFqNl4zGHUDKKRqz_j_aD8u_XHzuA&sig2=FK4ZjudV3bDDX-Fqfyk7zw Wakuu tembeleeni hao jamaa wanachambua vzuri sana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mwanaume kumkataza mpenzi wake kuwasiliana na marafiki zake wa kiume?

    Hivi vitu vinatokea sana hasa pale ambapo mahusiano yamekosa urafiki ndani yake furaha ya kweli na kuridhika inakosekana. Hakuna haja ya kumzuia wewe kuwa rafiki na utimize furaha yake hutamsikia anahangaika na sijui marafiki because you will be the best for him or her. Kingine pima kina cha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hzo zote 17 ndo huwa zinachafua mikeka mingi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ANGALIZO: Tuwe tunapitia M BET ile option ya SUPER game wanazolist pale tuwe makini nazo mara nyingi huwa ndo zinachafua mikeka... GOOD LUCK
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

    Hii kesi ukiwa mwepesi wa kufikiri utahukumu haraka sana lakini ukisikiliza pande zote bila kuwa na hisia zozote utauona mwanga fulani wa ukweli.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Barcelona leo anaweza akafanya maajabu na PSG jihami sana nao
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hv hakuna points kwa mfano za winning ambazo huwa ni fixed ikitokea tu huwa ni za ushindi?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    I have a suggestion... Hv tukifanya study hatuwez tukang'amua formula zinazotumika na hawa jamaa?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mafriji used yanauzwa

    Hiyo bei gan?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Unaona nini hapa? Kwanini?

    Two things at once kuna alama hapo unaweza ukaitafsiri km sikio at the same km jicho..
  12. L

    JamiiForums Tanzania Unaona nini hapa? Kwanini?

    Kikongwe
Back
Top Bottom