Recent content by LAPTOP2016

  1. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Dr. Vicensia Shule, Mhadhiri aliyeandika ujumbe wa wazi kwa Rais Magufuli ahojiwa na Kamati ya Maadili UDSM

    Hao ma lecture wanaonewa tu, vianafunzi vinavyojishembendua unaviachaje kwa mfano?, ukiwa nje ya ulingo unaweza kuona ma lecture wanakosea, ila ingia kwenye ulecture utaona haya mambo, ni ngumu sana kujiepusha kuwabandua hawa watoto. Kwanza kizazi cha siku hizi kina nyege sana,
  2. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupita tuisheni za mchikichini tukumbushane walimu maarufu na matukio mbalimbali hapa.

    Wale mateja walikua wananivutia sana kuwaangalia hasa siku nikikuta wanagongana.
  3. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

    Haramu!? kwani kakwambia alienda kubetia kanisani/msikitini?
  4. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

    Ishaliwa na mchepuko mkuu hahahahahahah
  5. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania SANCHOKA ananieka active sana na hizi stress za Maisha

    Huyu nikiwa naye chumbani inaweza kunichukua zaidi ya masaa 24 kuamini kuwa sio ndoto bali nikweli hiki kiumbe kipo mbele ya mboni za macho yangu.
  6. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Diplomatic attack in Australia by unknown men

    HhAHAHAHHHAH Dah yani kama umeniona, leo asubuhi nimekatisha hapo uwanjani, ni njia halali kabisa ya waenda kwa miguu, bodaboda, baiskeli na bajaji.
  7. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

    Mwambie aweke 50,000 tu kwenye account yake, anipe username yake na password nimuwekee mikeka, hadi kufika Jumapili pesa yake inarudi, sihitaji chochote kutoka kwake, only kumsaidia tu.
  8. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

    Hiyo pesa aliyoliwa ni ndogo sana na anaweza kuirudisha kwa muda mfupi tu kama akiwa serious.
  9. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaliwa Tshs. 3,000,000 kwenye kamari, yupo hoi kitandani

    Kweeli tunatofatiana, wakati mimi nilibet 30,000 nikala milioni 2.3 jumapili hii.
  10. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

    Chai iko wapi hapo? unafikiri sisi tumesoma enzi za hizi za school bus?, shule za serikali zamani tulikua tunasoma na watoto wote wa viongozi, na tulikua tunakalia madawati ya watu watatu kila dawati.
  11. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania BoT yazifungia benki 5 kutojihusisha na biashara ya fedha za kigeni

    Hapo nimetoka patupu, ina mana haruhusiwi kuwa na account za fedha za kigeni? miamala ya fedha za kigeni hairuhusiwi?
  12. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Tuambie kitu cha utundu sana ulichofanya utotoni na hutakisahau maisha yako yote

    1. Wakati nipo darasa la 7, nilishawishi wanafunzi wote wa kiume darasani tusije kwenye kipindi cha jioni ili tukacheze mpira na shule ya jirani bila ruhusa wala taarifa ya shule, ticha kaja jioni kakuta wasichana tu kuuliza anaambiwa tumeenda kucheza game, kesho yake staff nzima ilihamia...
  13. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Picha: Huko Ikulu wanalibeba Hili Dubwasa, Hawalioni?

    Nimeelewa hilo lidubwasha
  14. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kukutana na Wachezaji wa Taifa Stars leo tarehe 19.10.2018 Ikulu ya Dar es salaam

    Unaliwa kiboga wewe sio bure.
  15. LAPTOP2016

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Tumekuelewa ulichomanisha, basi sawa akichoka aturudishie team yetu isije ikaanza kupitia kipindi kigumu.
Back
Top Bottom