Kwa yeyote mwenye mapenzi na documentaries kuhusu maisha ya wanyama au watalam wa mambo ya wildlife mnisaidie kwenye hili. Kuna channel maarufu inyoitwa NatGeoWildAfrica HD iliyoko king'amuzi cha Azam channel namba 184 inarusha masuala mengi kuhusu wanyama.
Point yangu kubwa ni kuhusu huyu...
Goziba iko mkoa wa Kagera Wilaya ya Muleba. Unaweza kwenda huko kutokea bukoba kemondo au kuanzia mwalo wa Kyamkwikwi Muleba. Utaanzia kisiwa cha BUMBIRE, then Kerebe na kuishia Goziba. Ni karibu na ukerewe lkn siyo mwanza bali ni Kagera.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.