Recent content by lango moja

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    Yap ndio namaanisha hiyo hiyo michirizi
  2. L

    JamiiForums Tanzania nini tiba au dawa ya mistari ya mazimoro

    jaman naombeni tiba au dawa ya kutoa au kufuta kbs mistari ya mazimoro
  3. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    wanajamii forum naombeni mnisaidie ni dawa gani inatoa au kufuta kabisa mistari ya mazimoro
  4. L

    JamiiForums Tanzania nashauri CLOUDS FM wamshtaki lady JD

    Ujue alichokifanya jd c unafiki bali kile kilicho moyoni mwake ndio alichokieka wazi,mi nmefatlia cloudz hawajatukanwa bali jide katoa wosia kwa kile anachokiamini yeye kwa fanz wake!cloudz wamepeleka shtaka la kutukanwa na ni kitu ambacho jide hajafanya.....!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova akanusha kanisa la Lutheran-Kunduchi kulipuliwa!

    Mie nafkiri viongozi husika ni tatizo sana coz akili na mawzo yao ni finyu mnooo,kulongana na ufinyu wa fikra zao ndio tumefika hapa mpk kuwa na chuki za sisi kwa sisi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

    Nyingine hii-ikitokea umekwazana na rafiki /ndugu...na ukaamua umuombe msamaha ili muwe sawa km awali,basi atajitapa kwa watu amekuja mwenyewe kuniomba samahani,masikini kumbe huna kosa ila uliamua yaishe...kiukweli huo si uungwana
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwamfano

    Ha ha ha ha pumbu za baba..
  8. L

    JamiiForums Tanzania Romeo and Juliet

    Mbona wanaimbwa na kuandikwa sana, what is so special with them?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Romeo and Juliet

    Habari wana jamvi, nimekua nikikutana sana habari za hawa watu, lakini sijuwi nikina nani, chakushangaza leo wakati nasoma lyrics za luck dube kwenye nyimbo ya freedom fighter nikakutana tena na majina haya, mwenye kujua hostoria yao au mwenye kitabu chochote naomba anisaidie...
Back
Top Bottom