Recent content by Langison

  1. Langison

    JamiiForums Tanzania Walioumbwa kabla ya Adamu na Eva

    Mkuu unajibu swali langu au unajibu swali la mtoa mada?
  2. Langison

    JamiiForums Tanzania Walioumbwa kabla ya Adamu na Eva

    Dah! Inawezekana make nasisi waafrika tunaasili yetu lakn mbona mtu akiwa na mapepo tunaomba kupitia hizi dini tulizoletewa Na yanapiga kelele mpaka yanakosa Amani na kutii amri kwa jina la yesu na yanaondoka? Hapo imekaaje mkuu
  3. Langison

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa keyboard shortcut muhimu uzifahamu

    Poa
  4. Langison

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa keyboard shortcut muhimu uzifahamu

    Ahsante sana
  5. Langison

    JamiiForums Tanzania Nimeoa mwaka wa tatu huu naenda lakini sijabahatika mtoto mimi na mke wangu

    Hahahahah! Wacha nicheke
  6. Langison

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa mitandaoni mjue kuwa si kila mwanamke aliyepo mtandaoni anashida na mwanaume

    Sawa umesema kweli Ila wapo baadhi ya wanawake hupendezwa Sana wanapofuatwa inbox. Wanapenda Sana kushobokewa Ila wewe ni Kama dada mpaka kaacha kupost picha zake nzuri nzuri kwenye Fb ili kuepukana na usumbufu anaoupata inbox nawengine wanamtumia namba pasipo yeye kuwaomba. Hongera sana...
  7. Langison

    JamiiForums Tanzania SoC01 Magonjwa ya Afya ya akili yanatibika, vunja ukimya

    Kumbeee! Eti kila mtu ana kaukichaa frani ukiachana na wale vichaa kabisa, eti kila mtu anakaukichaa nikweli?
  8. Langison

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sina Maneno mengine zaidi ya kuwapongeza NMB kwa kutujali kuhitaji maoni yetu sisi wateja wenu. Hongereni Sana NMB.
  9. Langison

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

    Weee! We ni bikra? Kweli?
  10. Langison

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Kama Mimi, kuvaa navaa lakn so kivile yaani halafu Sina mengi kivile kujikosha Kosha yaani Niko normal Sana. Sasa kawaida ya baadhi ya dada zetu kudharau. Dada mmoja alinichukulia Kama hivyo anavyoniona hakuwahi kunijali Wala kunithamini katika vijana Basi Mimi aliniona Kama mbwa tu vile halafu...
  11. Langison

    JamiiForums Tanzania Code za Uchawi na Miujiza; Fahamu haya machache

    Kwangu Mimi hayo ni mengi mno. Yaani mambo ya namba hayo hata nilikuwa sifahamu hata kidogo. Ko hata baadhi ya manabii hasa wale wanaotabiri yajao au kuona yaliyopita inawezekana isiwe nguvu ya ki Mungu eti?
  12. Langison

    JamiiForums Tanzania Code za Uchawi na Miujiza; Fahamu haya machache

    Kumbeee! Duh! Watu mnafahamu mambo mengi katika hii dunia
  13. Langison

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa matukio kwenye vyombo vya habari

    Yaani ukikaa kidogo tu, habari ni geita matukio mbali mbali Geita, tulizoea mkoa fulani Sasa sio kule Tena saivi ni geita. Kama kulivyokomeshwa kule Basi serikali itilie mkazo katika mkoa huu wa geita make umezidi Sasa.
  14. Langison

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kabla ya mahusiano kukolea nilazima ukweli ukamilike kwanza bila ya kuacha Jambo lolote then Sasa mahusiano yanaweza kolea au kughairisha kabisa Ila mkidanganyana Basi hapo matokeo yake huwa ni hayo.
  15. Langison

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachungaji na walokole, tunagongewa sana wake zetu

    Okay. Na wanawake ambao niwalokole nao pia imekaaje hii.
Back
Top Bottom