Recent content by lane

  1. lane

    JamiiForums Tanzania Serikali irejeshe utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kusoma Bajeti yake Bungeni badala ya Waziri Mkuu kuwasilisha Bajeti za Wizara tatu za Ofisi yake

    Kongole sana bablai Umeshusha mistari vizuri Umetema madini tupu
  2. lane

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fundi wa mashine za Hay na Silage

    Salaam kwenu Bila shaka Mwenyenzi Mungu anawajalia kila lililo jema Natarajia kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza na kuuza MAJANI ya malisho ya mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo......). Kwa kuanzia nimenunua baadhi ya vifaa kama vile: tractor, drum mower, round hay baler, hay rake, chaff cutter...
  3. lane

    JamiiForums Tanzania Hivi SIDO Mbeya ndio wa kushindwa kunichongea spare part hii?

    Wale wa pellet machine, ipi nzuri kwa ajili ya chakula cha ngombe?
  4. lane

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa kanisa ni NoReformNoElection

    Safi sana! IMEELEWEKA VIZURI SANA
  5. lane

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka umeanza nimeishi kama anavyotaka Prof. Janabi, leo asubuhi nimeanguka kwa njaa

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wewe jamaa fala sana. Nimecheka kinoma
  6. lane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu omba yasikukute haya

    Acha UPUMBAVU! Heshimu taaluma ya udaktari. Achana kueneza taarifa feki. Ndugu "daktari mtafiti", tupe andiko lako japo moja tufanye rejea juu ya uyasemayo
  7. lane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YAMENIKUTA: Amenitegeshea Ujauzito, Nifanyeje......????

    Mimi sio KE. Mimi silei mimba! Jukumu hilo ni la jinsia ya KE
  8. lane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YAMENIKUTA: Amenitegeshea Ujauzito, Nifanyeje......????

    Kudaaadeki! Sasa unanitia hofu zaidi! Duuh
  9. lane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YAMENIKUTA: Amenitegeshea Ujauzito, Nifanyeje......????

    Nimekusoma vema. Asante
  10. lane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YAMENIKUTA: Amenitegeshea Ujauzito, Nifanyeje......????

    Nipe muongozo! Itasaidiaje kama ikawa kweli mimba ni yangu?
  11. lane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania YAMENIKUTA: Amenitegeshea Ujauzito, Nifanyeje......????

    Wakulungwa salama? Nimekuwa kwenye mahusiano yasio rasmi na binti mmoja hivi. Yeye anadai ana boyfriend wake. Na mimi nimeoa, nina familia Sasa basi, tumekuwa na mahusiano na huyu mdasa kwa muda kama miaka miwili sasa. Lakini hapa mwishoni tukaongea na kukubaliana kuacha/kusitisha mahusiano...
  12. lane

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge 19 Kurudi au kutorudi CHADEMA, nini kifanyike?

    SIYO RAHISI NA HAIWEZEKANI KUWA JAMBO LA SIRI...! Nimeona mjadala wa kuhusu kurejea kwa Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama wa CHADEMA Kurejea tena ndani ya CHADEMA. lakini katika hali ya taharuki na sintofahamu siyo tu kwa Viongozi wakubwa wa CHADEMA bali hata viongozi wa wilaya na mikoa wa...
  13. lane

    JamiiForums Tanzania Tunauza heka Arusha

    Ina hati (title deed)?
  14. lane

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Apps nzuri ya kutunzia Documents

    Dropbox
  15. lane

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Asante sana Molemo Media kwa kuwa tayari kutuhabarisha Asante sana Mwenyekiti Mbowe FA kwa hekima na ustahimilivu wako wa kupigania UHURU wa kweli wa mtanzania Karibu sana wakili msomi na mwanaharakati wa kweli, muafrika wa kweli, ndugu yetu Tundu AL NJOO TUPAMBANE mpaka Tanzania na...
Back
Top Bottom