Recent content by landibongo

  1. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa TAMISEMI ingilia kati 'upigaji' wa fedha za kujikimu unaoendelea kwa Ajira Mpya

    soma vizuri halmasgauri nyingi hawajalipa baadhi wanalipa hela pungufu
  2. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa TAMISEMI ingilia kati 'upigaji' wa fedha za kujikimu unaoendelea kwa Ajira Mpya

    Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya. Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000. Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mjamzito Irene Tillya na mwanaye utata mtupu

    kesi yenye mchaga ndani yake huchomoki. hapo panapatishwa msako kwanzia mlinzi alikuepo lindoni siku ya tukio hadi walikua wodini wote
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada weupe na wazuri wa asili piteni hapa mjibebee maua yenu

    iwe mwazo na mwisho kupost threads za kipumbavu
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada weupe na wazuri wa asili piteni hapa mjibebee maua yenu

    post za kijinga jinga kama hizi zimefanya jf imekua takataka kwa week nalog in mara moja manake 90% ni upumbavu tu
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

    Godwin moleli wa siha Kilimanjaro tayari kaliwa kichwa wenyej wanataka mzawa yani mchaga wa siha
  7. L

    JamiiForums Tanzania Matoleo mbalimbali ya simu za Nokia katika picha

    dah Long time sana asee thank you nokia for humble beginning
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ridhiwani Kikwete achukua na kurejesha fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Chalinze

    familia ya kikwete ni royal family
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 William Lukuvi akipita Ubunge atakuwa Mbunge mkongwe aliyehudumu kwa miaka mingi sana. Alianza 1995. ataikaribia rekodi ya Chrisant Mzindakaya

    kazeeka sura imekua kama wabibi wa kichaga. lakini yumo tu yaani ni humu tu. kutafuna kodi za wananchi kwa tamaa na ulafi wa madaraka ni sawa na fisi afie buchani
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ole Sabaya Kapauka utadhani katoka Jela jana

    huyu pressure B.p inamtafuna , depression zinamtafuna karma anamtafuna yaani anatafunwa vibaya mno
  11. L

    JamiiForums Tanzania Picha kuna post kama hizi zenye kuchochea ukabila

    jibu kwa facts sio unapost mavi matupu
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aziza Mustapha Songambele achukua fomu kugombea Udiwani Viti Maalum Mwananyamala

    yani kila mtu kila pembe ya nchi ni mama ,mama mama samia fakiiiiii yuuuuuujj
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jana na Leo nilifunga kumuomba P Diddy aachiwe huru

    kesi ya didy watu weusi kibao wametoa ushahidi ila mzungu anapewa lawama
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kasikazini panapwaya mno, wachaga zaeni hii ni aibu waliooa kwenu waja kuwa wabunge wenu, Kikeke ni mzanzibari Moshi VIJIJINI afata Nini?

    we pumbavu aliyepost yeye kasema ni mtu w kagera acha kukurupuka kama kapuku
Back
Top Bottom