Asante sana Manizzle kwa maelezo yako.
Kimsingi ninapenda kufahamu ukweli wa hilo nililolisikia ili nisijeingia mkenge kwa kununua eneo ambalo nimelikusudia pia iwe msaada kwa wengine.
Naunga mkono juhudi za kuongeza idadi ya barabara hasa jijini Dar, ila sina uhakika na taarifa kuwafikia...
Wadau, sina uhakika maana sijapata taarifa rasmi.
Kuna watu wamepita maeneo mbalimbali ya Kibamba Dar es Salaam (Majuma mawili yaliyopita) na kuweka alama zinazoonyesha hatari. Kuulizwa wamesema kuna barabara kubwa ya malori inategemea kupita eneo hilo kutokea Mbagala kuungana na Barabara ya...
Asante sana ndg Cyberteq kwa taarifa hizi.
Hata sisi tuna chumba cha wastani kama sqm 60, siyo kikubwa sana. Please naweza pata mawasiliano yake (Email/simu/...)?
Natanguliza shukurani.
LP
Wasalaam,
Tunahitaji mtu/kampuni/taasisi itakayotushauri na ikiwezekana kutufungia "sound muffler" au kifaa kingine chochote kitakachoweza kurekebisha sauti kwenye chumba cha mikutano jijini Dar es Salaam.
Kimsingi chumba hicho ni kipya na tatizo lililopo ni kuwa mkiwa katika mkutano...
Wasalaam,
Natafuta ngazi zilizotengenezwa kwa kamba na mbao/mti kwaajili ya matumizi ya nyumbani.
Naomba kwa anayefahamu kunifahamisha wapi naweza kupata jijini Dar es Salaam Tanzania.
Natanguliza shukurani.
mkuu, hutaki za show rooms? Sijui bro kwa sasa ipoje. Mimi ninazo 2 nazitumia kwa biashara kubeba vitu sokoni DSM, zimejengewa bombs za pembeni kuimarisha. Ukifika bei nakuachia
Wasalaam,
Naomba msaada kwa anayefahamu.
Ninataka kununua gari kutoka kwa mfanyakazi wa Ubalozi hapa Tanzania. Gari limesajiliwa kwa namba za kibalozi T---CD---. naamini huwa magari haya yanakuwa hayajalipiwa baadhi ya kodi.
Gari lina taarifa hizi;
Aina - Land Cruiser Prado
Mwaka wa...
Asante,
Ninahitaji eneo hilo wakati wowote sasa ili niweze kuliandaa kwa kuanza kazi rasmi January 2013.
Endapo litakuwa halihitaji matengenezo makubwa (kama yapo), nitapenda zaidi ili ikiwezekana tuingie mkataba mara moja.
Note: Hii itakuwa ni baada ya kuridhika na;
1. Location (eneo...
Wasalaam WanaJF,
Ninahitaji eneo la kupanga kwa ajili ya ofisi hapo Moshi Mjini;
1. Eneo lenye ukubwa usiopungua mita za mraba 200 (200sqm)
2. Liwe Sakafu ya chini (Ground Floor) - linaweza kuwa nusu FG na nusu floor ya juu
3. Liwe mjini Moshi - sehemu inayoonekana na kufikika kirahisi...
OK
Ila sio vibaya ukaliangalia na hili labda utabadili mawazo na kuja kwenye sedan.
Hii cresta (attached photos) ipo katika hali nzuri pia na bei yake ni TZs 7m tu. Ipo DSM, unainunua na kuendelea kuitumia; haina tatizo lolote la kiufundi. Limetembea 99850km hadi leo tarehe 10 July 2012.
Karibu
Chigwiye,
Usijali nitaweka namba ya simu soon maana natarajia kurudi mjini (DSM) Ijumaa - 15th June 2012, hivyo nitakuwa hewani.
Ila nikuhakikishie tu kuwa gari bado halijauzwa.
Karibu
Asante kwa mtazamo wako. Ni kweli sio 2.5m tu; hata BURE unaweza kupata. Nafurahi kukutaarifu kuwa nimekiuza jana kwa TZS 6,200,000.00 na aliyekinunua ni mwenyeji wa Kivule huko huko. Endelea kutafuta utapata vya bei ndogo usikate tamaa.Karibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.