Toyota Cresta GX100; Dark Blue; 1G engine - inauzwa. Ipo Dar es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota Cresta GX100; Dark Blue; 1G engine - inauzwa. Ipo Dar es Salaam

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Landed Property, May 27, 2012.

 1. L

  Landed Property Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tazama picha hapo chini.
  Ninaliuza gari Toyota Cresta, Dark Blue, Engine 1G, Make 1997, Limetembea KM 98,000;Lipo Dar es Salaam; Lipo katika hali nzuri, linatunzwa vizuri.
  Bei 8m
  Karibuni

  Kwa mawasiliano ya kina tafadhali ni PM
   

  Attached Files:

  • 3.jpg
   3.jpg
   File size:
   532.1 KB
   Views:
   461
  • 2.jpg
   2.jpg
   File size:
   260.5 KB
   Views:
   399
  • 1.jpg
   1.jpg
   File size:
   545.4 KB
   Views:
   319
 2. B

  BLB JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ndani+engene hujaonyesha.
  Ila ki2 kime2lia
   
 3. L

  Landed Property Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg BLB, Nashukuru.
  Nitajitahidi niweke picha za ndani kadiri nitakavyoweza.
  Karibu.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Gari nzuri sana!
   
 5. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  In amvuto sana kwa nje. Ipo kwenye grade gani? eg 3.5 auction grade
   
 6. L

  Landed Property Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HP1,
  BAhati mbaya mie sio mzoefu wa Grades za magari.
  Kiufupi ni kuwa gari hili nimelitumia mwenyewe tangu limeingia nchini kwa 3+ years.
  Mwonekano wake mzuri sio nje tu, hata ndani limetulia na engine yake ipo vizuri.
  Karibu
   
 7. L

  Landed Property Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  King KONGiii
  Asante sana.
  KAribu
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwa nini unauza mkuu na ulaji wa mafuta ukoje per km.
   
 9. L

  Landed Property Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jino kwa jino;
  Karibu.
  Nimefikia hatua ya kuliuza kwa sababu, nimepewa gari la kutumia kazini kwangu hivyo sitalitumia labda mara moja moja (Nadhani ni matumizi mabaya ya vyombo).
  Utumiaji wa mafuta kwa jijini DSM kwenye "4 lane" (foleni) zetu ni wastani wa 8km/ltr.

  Gari lenyewe ni cc 1980 (2000cc); 6 Cylinders.

  Asante
   
 10. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imetulia kaka
   
 11. L

  Landed Property Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gari hili bado lipo halijauzwa. Linapatikana Mikocheni Jijini DSM kwa atakayependa kuliona.
  Bei ni 7.5m
  Karibu
   
 12. S

  Speedo Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Mheshimiwa;
  Samahani, Hili gari bado lipo au limeshauzwa? Nimelipenda ningependa kuliona kama bado lipo. Vipi bei inapoa?
   
 13. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Daa! kaka nimeshindwa kuku-PM bhana unajua tena hizi technolojia, unaweza weka waya wako hapa tukupigie?
   
 14. L

  Landed Property Member

  #14
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chigwiye,
  Usijali nitaweka namba ya simu soon maana natarajia kurudi mjini (DSM) Ijumaa - 15th June 2012, hivyo nitakuwa hewani.
  Ila nikuhakikishie tu kuwa gari bado halijauzwa.
  Karibu
   
 15. B

  BLB JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  namba ya cmu
   
 16. B

  BLB JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  namba ya cmu plz
   
 17. B

  BLB JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  au umeshauza
   
 18. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu kuwa na huruma kidogo, Mbona unauza gari bei ambayo wewe ulinunua, au kama kuna tofauti ni kidogo sana... Miaka mitatu +, Ni enzi zile Kodi za GX100 zilikuwa chini sana, na manunuzi kila mtu anayajua... ukitembelea mtandao wowote wa magari wa kijapani utaona kuwa CIF zake ni chini ya dola elf 3, Enzi hizo wewe unanunua Dola haikuwa 1600 kama leo, na kodi haikuwa kama leo... Ofcourse Lime depreciate value kwa kulitumia pia...
  Raia Tunaumizana jamani, Kusikia KODI zimepanda basi na nyie ndio mpandishe bei za magari yenu chakavu?? Leo Hii Nikiagiza mwenyewe GX 100 kama hiyo itanicost sana sana 9.2-10m, Sasa Why should I buy a car which has been in our bumpy roads for over 3yrs for a difference of 2m???
  NI MTAZAMO TU...
  Kama Tukitumia Mtazamo wa TRA kupunguza gharama za mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya gari, hilo nimeshashuka thamani kwa zaidi ya asilimia 30 ya manunuzi uliyofanya wewe miaka mitatu+ Nyuma...

  NB: Maneno yangu haya hayahusiano na ubora na mtazamo wa gari lako... Ni Vile tu haina mashiko kiuchumi....!
  Otherwise Utauza Tu gari kwani Bongo tunaenda na nini kinauzwaje Sasa hivi pasi na kuangalia thamani halisi ya mali kulingana na uhalisia wa soko na uchumi kwa ujumla...Ni kama vile tunavyouziana Viwanja na Nyumba kwa bei za Manhattan Hapa kwenye madimbwi yetu na mazalia ya mbu... Bora liende Style...Na hii inatokana na wengi wetu kutokuwa na vipato halali vyenye jasho la kujituma kisawa sawa...(KWANINI PESA ISIWE MAKARATASI TU YASIYO NA THAMANI YEYOTE... KESHO SI NTAZIDAKA TENA!!!!)

  NAWASILISHA.
   
Loading...