Kiwanja Kipo Kivule - Kitunda (Ilala - DSM) mita 30 x 22 kinauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Kipo Kivule - Kitunda (Ilala - DSM) mita 30 x 22 kinauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Landed Property, May 28, 2012.

 1. L

  Landed Property Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwanja chenye urefu wa mita 30 na upana wa mita 22 kinauzwa.
  Kipo Kivule jirani na Kanisa (RC) la Kigango,
  Kipo Tambarare,
  Majirani wanaendelea kujenga na wengine wameshahamia,
  Kinatazama barabara kubwa ya mtaa,
  Kina faa kwa makazi au biashara,
  Umeme bado kufika ila upo katika mpango (Tanesco wana sambaza nguzo)
  Hakina Hati ya Wizara ya Ardhi (Unsurveyed plot) ila eneo limepangika vizuri sana (Pongezi kwa viongozi wa Mtaa)
  Hakina mgogoro wowote.

  Bei 7.5m (Negotiable)

  Karibuni
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nadhani hapo wewe ni jirani yangu! Unapita kwenye ile chekechea?
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Mimi mnataka sana kiwanja na ningependa kuja kukiona kama itawezekana jumapili hii Mungu akipenda
  Ila bei ni ghali sana kaka
  Bei za viwanja kama hivyo angalau 3.5 kaka
  unasenmaje?
  Nijibu
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,544
  Trophy Points: 280
  kweli ardhi ni mali,
  kila siku bei inapanda.
   
 5. L

  Landed Property Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mvumilivu wangu,
  Unakaribishwa kukiona wakati wowote.
  Ila kuhusu bei (7.5m) itaendelea kuwa hiyo hiyo kukiwa na mabadiliko ni kidogo sana. Bei unayopendekeza ya 3.5m sikupingi maana vipo vya bei hiyo ila sifahamu vizuri vinapatikana maeneo gani kwa huku kivule. Ukitafuta zaidi labda unaweza kufahamu vipo wapi kisha utafute ulinganifu na hiki ninachokiuza.
  Vitu vinavyopelekea bei kuwa hivyo (siwezi kusema ni juu au chini maana hakuna bei maalum) ni pamoja na eneo kilipo, majirani wanaokizunguka, ufikikaji wa eneo husika, jinsi kilivyo (tambarare), ukubwa wake, matarajio ya siku chache zijazo eneo hilo, nk, nk, nk.

  KAribu sana
   
 6. L

  Landed Property Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoyce,
  Haswaaaaaaaa
  Nitakuwa ni jirani yako japo mie siishi hapo.
  Kiwanja chenyewe kipo mbele ya uwanja wa mpira uliopo karibu na Chekechea. kuna mchikichi mkubwa eneo hilo.
  Unaionaje mitaa ya huko kuhusu barabara?
   
 7. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nipe basi simu no. yako kaka. Mimi umenijibu lakini hujanipatia no. yako ya simu au hata email au unitumie no. yako ya simu kwa private message
  nadhani umeniewa kaka
   
 8. L

  Landed Property Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello Mvumilivu,
  Nimekutumia PM
   
 9. L

  Landed Property Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepunguza bei sasa nahitaji 6.5m tu
  karibuni

   
 10. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,719
  Likes Received: 980
  Trophy Points: 280
  sema polepole, then nitumie na.yako ya cm-asap!
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  Kaka embu tufanye wote hesabu ndogo tu,
  Eneo la kiwanja = 22 x 30=
  660 Sqm.

  Bei ya kiwanja = 6,500,000/-

  Tshs/1sqm = 6,500,000รท660
  =Tshs 9,848

  Status = Unsurveyed

  Kaka huoni kama unaua sana namna hiyo??

  Bei za kiwanja cha serikali kilichopimwa kibada au gezaulole iwe Sawa na kisichopimwa kweli jamani??
   
 12. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivyo viwanja vya huko kivule umenuna sana ni 2.5M Mi napafahamu vizuri sana huko acha kuibia watu hapa.
   
 13. L

  Landed Property Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa mtazamo wako.Ni kweli sio 2.5m tu; hata BURE unaweza kupata.Nafurahi kukutaarifu kuwa nimekiuza jana kwa TZS 6,200,000.00 na aliyekinunua ni mwenyeji wa Kivule huko huko. Endelea kutafuta utapata vya bei ndogo usikate tamaa.Karibu
   
Loading...