Kiongozi habari za wakati huu
Naomba uzoefu wako mkuu, kati ya Massey Ferguson na New Holland ipi ni first choice kwako? Kama ni Massey Ferguson ni number ngapi, HP ngapi? na je ni kweli 4WD ya massey inafanya kazi muda wote au inaweza kuwekwa na kutolewa kama gari ya kawaida? Vipi New holland...
Umenikumbusha machungu ya kuachwa na mpenzi wangu niliyempenda sana nikiwa collage mwaka wa pili. Niliumia sana kwa jinsi alivyonitenda. Ila yote mipango ya mungu. Pole sana kwenu nyote maana mnapitia maumivu kwa nyakati tofauti.
Daaaaaah mkuu nimecheka sana kwa kweli, mpaka mbavu zimeuma. Japo mkuu umesahau shule hawafundishi matumizi ya mshahara au pesa unayoipata. So matumizi yanatofautiana kulingana na priorities.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mkuu. Utakuwa umewakomboa vijana wengi mkuu na hili janga la ajira. Unafanya vyema sana mkuu. Ubarikiwe sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we ni wa mapema sana. Safi sana, nimefurahi ulivyojibu mapema mkuu. Barikiwa sana mkuu. Utakuwa umesaidia wengi sana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mteule, Naomba utupe location ya hawa Dealers wa vifaa vya umeme tafadhali (MEM), Pia mawasiliano yao kama unayo ili kurahisisha kazi ya kuwapata. Itakuwa vyema pia kama ukatupa update ya price kwa sasa ikoje, maana ni kipindi kirefu kimepita tangia uandike kwenye hii mada
Natanguliza...
Mkuu Mteule, Naomba utupe location ya hawa Dealers wa vifaa vya umeme tafadhali (MEM), Pia mawasiliano yao kama unayo ili kurahisisha kazi ya kuwapata. Itakuwa vyema pia kama ukatupa update ya price kwa sasa ikoje, maana ni kipindi kirefu kimepita tangia uandike kwenye hii mada
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.