Recent content by Land Breeze

  1. Land Breeze

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tunaelekea wapi?

    Tatizo la Elimu tunayopata Leo inabomoa maadili halisi ya Kiafrika yaliyojaa Utu na thamani.
  2. Land Breeze

    JamiiForums Tanzania Sihitaji kusoma mkataba wa mradi wa bandari ya Bagamoyo, serikali iko sahihi kuukataa, hongera Rais Magufuli

    Umezungumza kitu kikubwa Mkuu,,Nakuelewa na Nakubali 100%
  3. Land Breeze

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wa Kazi

    Nashukuru sana Mkuu Kwa Ushauri
  4. Land Breeze

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wa Kazi

    Habarini wanaJF, Kwanza Nafurahi kuwa mwanachama mpya Wa JF japokuwa ni Mtembeleaji mzuri Wa JF kwa mda mrefu, Elimu yangu ni kidato cha 6,Changamoto ni kukosa Fani/Taaluma tofauti na elimu yangu.Naombeni Ushauri ni Field ipi Naweza Kuomba na Kukubaliwa,kuhusu passion yangu ni Kufanya Kazi...
Back
Top Bottom