Ushauri Wa Kazi

Ushauri Wa Kazi

Land Breeze

New Member
Joined
May 7, 2019
Posts
4
Reaction score
5
Habarini wanaJF,
Kwanza Nafurahi kuwa mwanachama mpya Wa JF japokuwa ni Mtembeleaji mzuri Wa JF kwa mda mrefu,
Elimu yangu ni kidato cha 6,Changamoto ni kukosa Fani/Taaluma tofauti na elimu yangu.Naombeni Ushauri ni Field ipi Naweza Kuomba na Kukubaliwa,kuhusu passion yangu ni Kufanya Kazi Kwenye Hotel,Najiuliza Pia Itawezekana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom