Sihitaji kusoma mkataba wa mradi wa bandari ya Bagamoyo, serikali iko sahihi kuukataa, hongera Rais Magufuli

Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
295
221
Nianze kwa kumshukuru mwenyezi kutupatia nchi nzuri, yaani Tanzania. Tanzania inapakana na bahari ya Hindi kitu ambacho kinaifanya Tanzania kuwa ya muhimu kimataifa katika Nyanja ya usafirishaji. Bila kusahau kuwa vilevile Tanzania inapakana na nchi 6 ambazo hazinz bandari. Hivyo kupakana na bahari ni zaidi ya kuwa na dhahabu!!

Hivyo, kwa sababu yoyote ile, sikubali hii rasilimali muhimu kuigawana na wachina kwa kisingizio cha mtaji yaani rasilimali fedha. Tamaa ya kupata fedha au maendeleo ya haraka bila kutoa jasho ila kuweka rehani rasilimali zetu itatuweka pabaya. China ambayo sasa inatapanya fedha kwa kununua rasilimali za nchi maskini za Afrika ni ukoloni wa kupindukia zaidi ya hata ukoloni mambo leo!

Wachina walikuwa maskini tu kama sisi hadi kufikia miaka ya 1980 ila sijawahi kuona sehemu yoyote inayo onyesha Ulaya au Marekani kwenda kuwekeza China kama ambavyo China inavyotaka kutuamninisha. Hivyo, hata sisi tusiuze rasilimali kwa tamaa ya maendeleo bali tujijengee uwezo na muda utafika na sisi kuwa kama wachina.

Wachina ni hatari sana kwa sasa duniani kwani wameamua kutumia fedha zao kuzifanya nchi maskini kurudi kwenye ukoloni bila kujua kwa tamaa zao za maendeleo ya haraka.

Hivi niulize swali, kwanini serikali yenye dhamana ya miaka 5 au 10 iruhusiwe kusaini mikataba ya miaka mingi zaidi hadi 30 au zaidi tena kwa wageni??

Uwekezaji katika rasilimali kubwa kama bandari unahitaji kumilikiwa na kudhibitiwa na serikali moja kwa moja. Kama siyo serikali peke yake basi ishirikiane na wawekezaji wazalendo kama wapo. Ila kutuletea wageni (Wachina) kuwa wanyapala wa Watanzania tena kwa miaka mingi sio haki hata kidogo.

Mwl. Nyerere alikuwa na imani kuwa ipo siku tutakuwa na uwezo wa kutumia rasilimali zetu, aliamini katika vizazi vinavyokuja na ndio maana hakutapanya rasilimali zetu. Kama vizazi vya sasa haziwezi kutumia rasilmali zetu kuliletea taifa maendeleo visubili vizazi vijavyo. Tanzania itaendelea kuwepo sisi ndio tunapita hivyo tusiwe na tamaa ya kuleta maendeleo sasa wakati hatuwezi.

Mradi wa Bagamoyo hauna tofauti na miradi mingine inayo lalamikiwa Afrika

Angalia

Mwaka 2008, China ilinunua mlima Toromocho ulioko nchini Peru wenye uatajiri wa Copper : Unauza mlima wa copper!!!
 
Umeandika kana kwamba waliokaa mezani kujadili na kukubaliana kuhusu huo mkataba sio Serikali ya Tanzania.
Eti huna haja ya kuusoma! Hovyo, naihurumia shingo kubeba hicho kichwa kinashondwa kufikiri.
Mimi mwenyewe nikishasoma huo mkataba ndo nitajua mbivu na mbichi.
Naalabuk.
 
Usiwe na jazba, nimekupa mfano wa Peru, nimesema mimi sitaki kuona mali asili zetu wanazifaidi zaid wageni kuliko sisi wazawa
 
Nianze kwa kumshukuru mwenyezi kutupatia nchi nzuri, yaani Tanzania. Tanzania inapakana na bahari ya Hindi kitu ambacho kinaifanya Tanzania kuwa ya muhimu kimataifa katika Nyanja ya usafirishaji. Bila kusahau kuwa vilevile Tanzania inapakana na nchi 6 ambazo hazinz bandari. Hivyo kupakana na bahari ni zaidi ya kuwa na dhahabu!!

Hivyo, kwa sababu yoyote ile, sikubali hii rasilimali muhimu kuigawana na wachina kwa kisingizio cha mtaji yaani rasilimali fedha. Tamaa ya kupata fedha au maendeleo ya haraka bila kutoa jasho ila kuweka rehani rasilimali zetu itatuweka pabaya. China ambayo sasa inatapanya fedha kwa kununua rasilimali za nchi maskini za Afrika ni ukoloni wa kupindukia zaidi ya hata ukoloni mambo leo!

Wachina walikuwa maskini tu kama sisi hadi kufikia miaka ya 1980 ila sijawahi kuona sehemu yoyote inayo onyesha Ulaya au Marekani kwenda kuwekeza China kama ambavyo China inavyotaka kutuamninisha. Hivyo, hata sisi tusiuze rasilimali kwa tamaa ya maendeleo bali tujijengee uwezo na muda utafika na sisi kuwa kama wachina.

Wachina ni hatari sana kwa sasa duniani kwani wameamua kutumia fedha zao kuzifanya nchi maskini kurudi kwenye ukoloni bila kujua kwa tamaa zao za maendeleo ya haraka.

Hivi niulize swali, kwanini serikali yenye dhamana ya miaka 5 au 10 iruhusiwe kusaini mikataba ya miaka mingi zaidi hadi 30 au zaidi tena kwa wageni??

Uwekezaji katika rasilimali kubwa kama bandari unahitaji kumilikiwa na kudhibitiwa na serikali moja kwa moja. Kama siyo serikali peke yake basi ishirikiane na wawekezaji wazalendo kama wapo. Ila kutuletea wageni (Wachina) kuwa wanyapala wa Watanzania tena kwa miaka mingi sio haki hata kidogo.

Mwl. Nyerere alikuwa na imani kuwa ipo siku tutakuwa na uwezo wa kutumia rasilimali zetu, aliamini katika vizazi vinavyokuja na ndio maana hakutapanya rasilimali zetu. Kama vizazi vya sasa haziwezi kutumia rasilmali zetu kuliletea taifa maendeleo visubili vizazi vijavyo. Tanzania itaendelea kuwepo sisi ndio tunapita hivyo tusiwe na tamaa ya kuleta maendeleo sasa wakati hatuwezi.

Mradi wa Bagamoyo hauna tofauti na miradi mingine inayo lalamikiwa Afrika

Angalia

Mwaka 2008, China ilinunua mlima Toromocho ulioko nchini Peru wenye uatajiri wa Copper : Unauza mlima wa copper!!!
Kwa mkataba ule kama ni kweli wajuvi wa mambo walivyouchambua kwa kweli nasimama na Rais wangu 100% bora hata libaki pori mpaka tutakapo okota hela tutajenga wenyewe halafu mbona pazuri tu maana nikiendaga kule napafananisha na kwetu Ujiji Kigoma
 
Mkataba wameupata wapi ikiwa mikataba yote ni siri!?

[/QUOTE]

Kufanya mikataba na Wachina kwa lengo la kuendeleza miundo mbinu ya Nchi yetu (mf. Bandari ya Bagamoyo) siyo jambo baya, la hasha. Muhimu ni kwa Serikali yetu kuzingatia msatkabali wa Taifa letu na kuhakikisha kwamba makubaliano yanakuwa yenye tija kwa pande zote mbili, yaani wawekezaji (kwa upande mmoja) na Tanzania (kwa upande mwingine): Win-win Agreement.

Sijajliwa kuusoma Mkataba wa Wachina kujenga Bagamoyo hivyo sijui undani wake. Hata hivyo, kama yanayoandikwa mitandaoni ni kweli, ni vyema Serikali yetu kuchukua taadhali na hatua mwafaka kuhakikisha kwamba makubaliano hayo hayaarishi ustawi na mtakabali wa Nchi yetu. Ikishindikana, Serikali isisite wala kupata kigugumizi kuachana Mkataba huo maana hauna maslahi kwa Taifa, iwe sasa au kwa vizazi vijavyo.

Kwa muktadha wa habari zilizo mitandaoni, ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo haitaruhusu kuendelea kuwepo kwa bandari za Dar Es Salaam, Tanga na Mtwara. Zitafutika na kubaki kuwa simulizi katika kumbukumbu historia!

Bandari hizi zinachangia mapato ya Forodha n.k kwa kiwango kikubwa sana, ikizingatiwa kwamba zinahudumia bidhaa ziingiazo ndani yaTanzania na nchi kadhaa tunazopakana nazo ambazo hazikujaliwa kupakana na bahari. Ni mapato makubwa sana na ni dhahiri yataongezeka baada ya miundombinu zingine kuimarika/kukamilika (mf.SGR, Reli ya Kati, Reli ya Tazara, Reli ya Dar/Tanga/Arusha, barabara, meli zitoazo huduma maziwa ya Tanganyika, Nyasa na Victoria).

Swali ya kujiuliza ni: Je, iwapo tutapoteza mapato yatokanyo na bandari hizi za Tanga, Dar Es Salaam na Mtwara, ni wapi tutapata mapato mbadala ya kuliziba ombwe la mapato hayo? Na kwa nini tuzipoteze bandari hizi kwa kuendekeza muujiza/ndogo isiyotimilika? Nasikia (sina uthibitisho) kwamba Wachina ndio watatunza kumbukumbu na mapato ya Bandari ya Bagamoyo kwa walau miaka 33 ili kwanza wajilipe gharama za uwekezaji, na ikishindikana wataendelea kufanya hivyo kwa miaka 99! Kumbuka, hadi sasa Taifa letu linakaribia kutimiza umri wa miaka 58 tangu tupate Uhuru. Hiyo ikukunbusheni urefu wa kipindi cha miaka 99.

Popote/kokote walikowekeza Wachina kwa "makubaliano ya kukurupuka" wameacha vilio! Sri-Lanka, Eritrea na Zambia wanahaha. Majirani zetu Kenya wameishaanza kutafutana!

Waswahili wana msemo: Mwenzio akinyolewa....."
 
Unaposema serikali uko sahahihi kuukataa mkataba una maana gani? Mkataba husika ulifanywa na serikali ya Tanzania na ndiyo hiyohiyo inayodai haufai!
 
Nasimama nawe kwa 100%
 
Wewe mbumbumbu kaa kimya maana inaelelekea hujui kitu ni kilaza umeshiba maharage umejitoa fahamu zote, Marekani na ulaya wamewekeza china wana viwanda vya magari viatu na ujue china ndilo taifa lenye idadi kubwa ya watu Duniani na kibiashara kuna mahitaji makubwa ndiyo maana wamewekeza huko viwanda vyao ingia mitandaoni tizama uone uwekezaji wa wazungu China ndipo utaacha kuvuta Bangi hapo Gheto kwa cyprian Musiba,
 
Kwa taarifa yako wewe juha ule mkataba wa wachina hauna dosari wala siyo mbaya kwani Serikali ya Tanzania haikuomba mkopo bali wachina wanakuja kuwekeza tu hakuna sehemu watanzania wataumia zaidi ya kujinufaisha kimaendeleo, kilichokwamisha mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni Magufuli na Naibu Rais Daud Maliyamungu Bashite kwenda kuomba mkopo kwa wazungu kwa ajili ya kujenga Reli, chato Airport na pesa za kula, ndipo wazungu Wapinzani wa china pamoja na kenya Msumbiji na South Africa wakatumia fursa hiyo kuwashawishi wawape mashariti kuwa endapo wanataka pesa wasitishe Bandari ya Bagamoyo ambayo ni Tishio kwenye ukanda wa Africa, pasipo kutafakari magufuli na Bashite wameingia mkenge wanataka pesa za wazungu na kuachana na wachina kwa visingizio vya kishamba Uongo mkubwa na sasa wamewalipa pesa nyingi Le mutuz na cyprian Musiba watengeneze propanganda nyingi juu ya wachina ili watanzania wasiojielewa kama wewe zuzu wataamini wachina ni wabaya,
 
Watanzania wameamka siyo wajinga wanajua kuwa kikwazo cha mradi wa Bagamoyo ni wivu wa wazungu na Bandari jirani za kenya Msumbiji na South Africa
 
Propanganda za kuwachafua wachina juu ya mradi wa Bagamoyo ni propanganda za kishamba sana
 
Back
Top Bottom