Recent content by LAMOLAMO

  1. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Zanzibar tunaheshimu uhuru wa kuabudu, lakini lazima tulinde utamaduni wetu

    Itakuwa hujui maana ya Imani...mtu akijiita NABII,mtume anatufua vyovyote vile hiyo ndio Imani yake mwache ilimradi havunji Sheria za nchi
  2. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusota mtaani nataka kwenda VETA ni kozi ipi inalipa kwa sasa?

    Welding Ni fani ambayo ukiaweza kuimudu vyema hutajutia...na Wala hutakaa uwaze kuajiriwa
  3. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Polisi, Jeshi linaloishi kwenye nyumba mbovu zaidi Tanzania. Wanafuatia Magereza

    kwa mshahara gn...zaidi ya kuibia wanyonge.
  4. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania The making of march 10: JF newest couple! Demiss n Jr

    aise!
  5. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania MOSHI: Mtu mmoja akatwa panga baada ya kumshika mbuzi wa tambiko

    utakuta hajbana mdomo vizuri mbuzi akapiga kelele wakati anapigwa kisu cha moyo..Pole yake kushiriki imani ya kishirikina.
  6. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya aamrisha nesi kuwekwa ndani kwa kosa la kuuza nguo kazini

    labda kama ujinga wake ni kutokuwa na leseni ya biashara.
  7. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Shetani: Adui rafiki asiye na kinyongo

    Tukisema hatuna dhambi twajidanganya wala kweli haipo ndani mwetu, ila tukitibu yeye ni mwaminifu atatusamehe maovu yetu... Binafsi naamini hakuna siku ambayo inaweza pita bila mwanadamu kutenda dhambi (tukiondoa unafki) kwa matendo, maneno au hata kwa kuwaza...na kuna dhambi nyingine unaweza...
  8. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini neno usiogope limetajwa mara 365 katika Biblia takatifu?

    Mbinu kubwa ya shetani ni kiwapandikizia watu roho ya woga (hofu) Yesu alipo mwambia petro njoo petro alitembea juu ya maji (hofu ya kuzama haikuwepo) lakini ghafla alipoona mawimbi alipata hofu (woga) mwishoe akazama. kilicho mzamisha petro sio mawimbi ni woga Neno la MUNGU (Kristo) lina...
  9. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Madhabahu yenye nguvu za Mungu

    Sina haja ya kuuliza mtu maana mimi nasali pale zaidi ya mwaka sasa....
  10. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niwe na ujasiri mbele ya kadamnasi (Watu wengi)?

    "Mwisho Mwambie MUNGU niondolee hofu".... kwenye biblia neno usiogope limetajwa mara 365
  11. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Madhabahu yenye nguvu za Mungu

    duh....huo uwongo wa kiwango cha lami.
  12. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Madhabahu yenye nguvu za Mungu

    kama unaenda kusali hiyo hela ya nini? ila kama unataka kumuona binafsi ofisini lazima uchangie hudumu mkuu....
  13. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Madhabahu yenye nguvu za Mungu

    karibu kwa propher Nichoraus Suguye...hauta ujutia j.2 yako.
  14. LAMOLAMO

    JamiiForums Tanzania Wababe wameishia wapi? zamani kulikuwa na wababe kwelikweli mtaani kila mtu anamuogopa

    Mara ya mwisho kumuona van dame alienda pale sinza makaburini kwa jamaa wa bajaji kugongea wale jamaa kumuona wakajichenga wakaacha bajaji zao ...dame kufika pale akagungua wamemkimbia kilichofata alikata waya za bajaji kama tano hivi.
Back
Top Bottom