Pasha,nigel kafa na hadije
Mpe muda ila usipunguze mapenzi kwake,jitahidi kumuekeza jinsi gani unajutia,pia msifie sanaa.. Mwisho atakusamehe ila hatosahau.
Mbaya zaidi hatukupewa barua yoyote...na wengi hawakutoa copy.lile zoezi lilituchanganya wengi.nilienda lalamika kwa mwajiri ndo akanipa copy zilizopo kwenye faili nikatoe copy..
Sasa sina hakika kama ukipata ajira mahali pengine watapokea copy.
Habari wandugu,mnamo mwaka juzi zoezi la uhakiki wa vyeti lilianza na ambao tulikuwa masomoni kutokana na kuchelewa ilitulazimu tukusanye vyeti original kwa mwajiri ambae nae aliviwasilisha baraza la mitihani la taifa.
Sasa ni yapata mwaka na miezi hatujarudishiwa vyeti hivyo na kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.