Kanifumania week ya pili sasa matendo yake kwangu yananipa wasiwasi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,357
11,503
Huyu dada ni mpenzi wangu siku nyingi kidogo mimi nilimpata kipindi hicho ndo anaanza chuo nilianza naye mapenzi mimi nikiwa ndo mtu wa kwanza kabisa ni dada mzuri na mstaarabu sana chuoni wakati namtembelea siku moja nilikutana na ye akiwa na rafiki yake mmoja ambaye si mzuri sana ila amemzidi makalio makubwa sana.

Yule dada akanizoea akawa anawasiliana nami baada ya siku moja kukutana na ye Mlimani City akaomba namba ya simu sikuona sababu ya kumnyima sababu tulikuwa tumeshafahamiana.basi two weeks ago akaja kunitembelea home mitaa ya makongo juu alikuwa anapita akauliza kama anaweza kuja nisalimia sikumkatalia akaja tukala akawa ana watch movie anapenda sana movies hasa akapagawa kuangalia kwenye screen kubwa ikafika jioni akasema atapika kabisa ili nisihangaike akafanya hivyo tukala hakuondoka.

Usiku basi ikabidi tulale tumelala mpaka saa saba hivi nikawa nipo macho nimezidiwa hasa nikaomba show alinigomea kabisa nikambembeleza sana mpaka saa 10 alfajiri ndo akaruhusu nipige show nikapiga ya kwanza ,ya pili akasema tupumzike naye alifurahi pia kwa kutoa ushirikiano mkubwa tukalala tukaja shtuka saa mbili tukaamka tukapiga tena game tena kavu kavu then tukaenda kuoga tukaandaa chai ilikuwa jumapili mchana nikatoka nikanunue mboga kumbe yeye anachat na wenzie na kuwaambia yupo kwangu.

Katika wale wenzie kuna mmoja akamwambia yule msichana wangu wa kitambo maskini yule dada akamchukua na mwenzie wakapanda UBER wakaja home mi nmetoka kununua vitu nimetua tu nasikia geti linagongwa nikaenda kufungua nikidhani ni muuza mboga mboga nafungua nawakuta wao hakusema kitu akaingia na moja kwa moja akaongoza ndani.

Alimkuta yule demu tinginya yupo na chupi tu room kitandani maskini hakumtukana wala hakumgusa akamwambia tu "xxx vaa basi tuongee" yule demu akavaa mimi nimeingia ndani nimekaa sijui la kusema akamuuliza "yaani wewe xxx ndo wa kunifanyia hivi mimi? unajua kabisa huyu ni mpenzi wangu kweli unakuja kutembea naye? haya mama ngoja achague anayemtaka kati yetu" akanigeukia na kutaka nimwambie mmoja aondoke.kiukweli nilimwambie yule demu mvamizi aondoke yule dada akiwa amekasirika akakusanya vitu vyake akaondoka akisonya.

Huyu wangu akiwa na mwenzie alinitizama tu huku akitoa machozi.nilimwomba sana msamaha alitandua mashuka akaenda kuachoma moto uani akafanya usafi hakusema lolote akapika akaondoka baadaye akanisalimia tu kama kawaida napata shida sababu huyu dada hataki kabisa kulizungumzia jambo lile mimi napata shida ananiwazia nini? maana nikianza tu kumwelezea tukio lile ananikatisha au anainuka na kwenda sehemu nyingine si kwa simu si face to face hataki niseme lolote.

Wasiwasi wangu huyu dada ananiwazia nini? asili yake ni iringa ni mdada mstaarabu na wife material hasa basi tu na mimi nili chemka ku mcheat na ninaumia sana ila sijapata nafasi ya kumwomba msamaha maana napojaribu ahataki kabisa kukumbuka lakini home anakuja kama kawaida anapika anafua nguo na kufanya usafi tunalala sija mkamua toka siku ile maana hata nguvu za kufanya hizo sina sometime ananitizama sana sielewi ni nini anachowaza naumia sababu ni kweli nimemkosea sana.
 
lakini mtu hataki hata tuzungumze nimwombe msamaha.. angalau aseme amenisamehe. maana kwa sasa sielewi kama kanisamehe au laah.

Hiyo itakuwa imemuuma sana,na labda anakupenda sana hawezi kukuacha.

Hapo ongeza mapenzi kwake kwa sana..atakuja kukaa sawa tu
 
huyu dada ni mpenzi wangu siku nyingi kidogo mimi nilimpata kipindi hicho ndo anaanza chuo.nilianza naye mapenzi mimi nikiwa ndo mtu wa kwanza kabisa. ni dada mzuri na mstaarabu sana. chuoni wakati namtembelea siku moja nilikutana na ye akiwa na rafiki yake mmoja ambaye si mzuri sana ila amemzidi makalio makubwa sana.

yule dada akanizoea akawa anawasiliana nami baada ya siku moja kukutana na ye Mlimani City akaomba namba ya simu sikuona sababu ya kumnyima sababu tulikuwa tumeshafahamiana.basi two weeks ago akaja kunitembelea home mitaa ya makongo juu.alikuwa anapita akauliza kama anaweza kuja nisalimia sikumkatalia akaja.tukala akawa ana watch movie.anapenda sana movies hasa akapagawa kuangalia kwenye screen kubwa. ikafika jioni akasema atapika kabisa ili nisihangaike.akafanya hivyo tukala. hakuondoka.

usiku basi ikabidi tulale.tumelala mpaka saa saba hivi nikawa nipo macho nimezidiwa hasa..nikaomba show. alinigomea kabisa. nikambembeleza sana mpaka saa 10 alfajiri ndo akaruhusu nipige show. nikapiga ya kwanza ,ya pili akasema tupumzike naye alifurahi pia kwa kutoa ushirikiano mkubwa.tukalala tukaja shtuka saa mbili.tukaamka tukapiga tena game tena kavu kavu. then tukaenda kuoga . tukaandaa chai.ilikuwa jumapili.mchana nikatoka nikanunue mboga. kumbe yeye anachat na wenzie na kuwaambia yupo kwangu.

katika wale wenzie kuna mmoja akamwambia yule msichana wangu wa kitambo. maskini yule dada akamchukua na mwenzie wakapanda UBER wakaja home.mi nmetoka kununua vitu nimetua tu nasikia geti linagongwa nikaenda kufungua nikidhani ni muuza mboga mboga.nafungua nawakuta wao. hakusema kitu akaingia na moja kwa moja akaongoza ndani.

alimkuta yule demu tinginya yupo na chupi tu room kitandani. maskini. hakumtukana wala hakumgusa akamwambia tu "xxx vaa basi tuongee" yule demu akavaa. mimi nimeingia ndani nimekaa sijui la kusema. akamuuliza "yaani wewe xxx ndo wa kunifanyia hivi mimi? unajua kabisa huyu ni mpenzi wangu kweli unakuja kutembea naye? haya mama ngoja achague anayemtaka kati yetu" akanigeukia na kutaka nimwambie mmoja aondoke.kiukweli nilimwambie yule demu mvamizi aondoke. yule dada akiwa amekasirika akakusany avitu vyake akaondoka akisonya.

huyu wangu akiwa na mwenzie alinitizama tu huku akitoa machozi.nlimwomba sana msamaha... alitandua mashuka akaenda kuachoma moto uani. akafanya usafi. hakusema lolote.akapika akaondoka. baadaye akanisalimia tu kama kawaida. napata shida sababu huyu dada hataki kabisa kulizungumzia jambo lile. mimi napata shida ananiwazia nini? maana nikianza tu kumwelezea tukio lile ananikatisha au anainuka na kwenda sehemu nyingine.si kwa simu si face to face hataki niseme lolote.

wasiwasi wangu huyu dada ananiwazia nini? asili yake ni iringa.ni mdada mstaarabu na wife material hasa. basi tu na mimi nili chemka ku mcheat na ninaumia sana.ila sijapata nafasi ya kumwomba msamaha maana napojaribu ahataki kabisa kukumbuka. lakini home anakuja kama kawaida anapika anafua nguo na kufanya usafi.tunalala sija mkamua toka siku ile maana hata nguvu za kufanya hizo sina. sometime ananitizama sana.sielewi ni nini anachowaza... naumia sababu ni kweli nimemkosea sana.
Leo usiku akija muombe game akikupa tu ujue hakuna haliwazalo ila anataka kukuumiza kisaikolojia tu mkuu.
 
sure hataki kabisa kulitaja hilo jambo sasa pia hasemi kama kanisamehe au vipi .. mimi mwenyewe naumia na kujiona fala sana kwa kumuumiza huyu binti.

Yani huyo inaonekana hata kuongelea hiyo ishu inakuwa inazidi kumuuma,anatamani hata asahau kabisa....give her some time.
 
Pole sana mkuu. Uwe unalala kwa machale machale, maana wenzio wanauawa kwa risasi wewe isijekuwa kwa mto.
 
Kwa matendo aliyofanya kwel ameonyesha kipimo cha ustaarabu na heshima kwako kwa kiwango kilichopitiliza, So far liache usilizungumzie tena possibly linamuumiza kila akikukumbuka tafuta muda weekend Mtoe mahali kwa utulivu mkaliongelee huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom